Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,873
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Oniviel Muhando kuwa mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU)
Nafasi ya Uenyekiti wa TCU ilishikiliwa na Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya ambaye amefariki Julai 20, 2021
Nafasi ya Uenyekiti wa TCU ilishikiliwa na Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya ambaye amefariki Julai 20, 2021