UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

Majina ya mapendekezo tayari yapo mezani kwake
Miss Mushi hujajibu swali.

Umeulizwa: unampendekeza nani ateuliwe?? Wewe unajibu hivyo ulivyojibu

Watanzania, mkiulizwa maswali muwe mnajibu hayo maswali.

Hii ni sababu kubwa sana inayopelekea wengi mfeli.
 
Unataka nipendekeze nini tena wakati mapendekezo yashafanyika? Kwamba nikitaja hapo kule kutafanyia changes ama? Au wewe ndo unakusanya data za mapendekezo
 
yeye zaidi waislamu wa zanzibar tu waislamu wa bara hana shida nao ogopa mzanzibar hata kama ni jirani yako wabaguzi saaaaaana
 
Wale wanaosema Rais anateua kwa minajiri ya Dini hapa wala hawataonekana.

Cc USSR njoo huku useme Rais kateua kutokana na Dini ya Mtu.
Hata mimi nimeliwaza hilo, ikabidi nirudi kuhesabu. Wote upande mmoja! Inawezekana mama siyo mdini kama Jiwe!
 
Kwa sasa Samia hata akiteua wasukuma wote wala haiwi nongwa tena!
 
Back
Top Bottom