Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Hawa watu wanalala saa ngapi?.Habari za usiku huu, mtakapoamka pokeeni taarifa hii maana mteuaji halali wala hasinzii...
Orodha hii chini ni ya majaji wateule. Hongera nyingi kwao.View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
Halafu ukiwasikiliza kwa namna fulani wanavyotamka kuwa hawalali huona kama sifa lakini kwa wenye akili hii sio sifa, kulala ni muhimu kwa afya ya akili na mwili, Rais kujisifu hulali mithili ya manamba au makuli ni ushamba, unaonesha huna team work nzuri zaidi sana upo stone age. Dunia hii iliyo simplified Rais alipaswa a relax ndio maana wanawaona wehu wanaotaka katiba mpya na a well modernized government machinery working system.Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Hawa watu wanalala saa ngapi?.
Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.
Hongera zao!.
P
1. Happiness Philemon Ndesamburo ni mtoto wa ndesamburo wa Chadema? ???Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
Ukajua umo, uliipoteza taji yako kizembe sana enzi ya kuhani mkuu KAYAFA, sasa unaishi kama popo usiyejua uwe mnyama au ndege pole sana. Majira hayafwati watu bali watu hufuata majira.nilivyokuja mbio...
Issue ni je are these ladies capable of handling complex law issues that will come before them? Au ni ,kuwapa kubalance gender without technical know how? Majaji wa UPE!Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Hawa watu wanalala saa ngapi?.
Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.
Hongera zao kwa wateuliwa, ila hongera sana kwa mteuzi, kumbe uswa wa kinsia unawezekana kabisa!, katika teuzi hizi mpya za majaji wapya 22, majiji 11 wana majina ya kiashiria cha Kike!,!
P
Hao wasajili na Naibu wasajili wa mahakama wengi kama sio wote hutokea kwenye uhakimu.1. Happiness Philemon Ndesamburo ni mtoto wa ndesamburo wa Chadema? ???
2. Naona mahakimu waandamizi wa mahakama za Hakimu Mkazi hawafai, hata mmoja. Amewaonea sana!
Wanawakeni wengi, safi au?
3. Ana wa Tume ya uchaguzi ni wezi wa kura, hafai kabisa. hawezi kutenda haki. Kesho tutamsikia Mahala ni Jaji. .....amewekwa ku handle kesi za uchaguzi za CCM washinde?
4. Na ile dini wako wengi
5. Mawakili wa serikali ni AWARD NA SI WELEDI......
Conclusion: Majaji wa UPE
mbona date ni August 23, 2022? Au mimi ndiye sielewi? LusungoRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
Fine, but aliye mahakamani kwa mtindo huu atakata tamaa maana nafasi za usajiri wa mahakama ni chache. Anyway ni mtindo wa Jiwe, sidhani kama Jaji Mkuu kabadilika..bure kabisaHao wasajili na Naibu wasajili wa mahakama wengi kama sio wote hutokea kwenye uhakimu.
Hadi 2025 itabidi tuvae magauni ili tupate uteuzi.Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717