UTEUZI: Rais Samia amemteua Rais mstaafu, Dkt. Kikwete kuwa mkuu wa chuo UDSM kwa kipindi kingine cha Miaka 6

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor) kwa kipindi kingine cha miaka sita.

Uteuzi huo utaanza Januari 17, 2022.

Afadhari amepata kitu cha kufanya kwani wajukuu zake wanamtesa!!! Kukaa na waajukuu tu huko Msoga na kuchunga punda ubongo unaweza kusinyaa!!
 
Ninachojua kikwete 2022 ndiyo mwisho wake. (RIP In Advance)
sina chuki naye lakini prophecy inasema hivyo..
kusudi mambo yafunguke na mengineyo yaende ni lazima AFE
kwa miaka niliyoshiriki humu ndani, comment za namna hii hapa JF sio za kuzipuuza hata kidogo!

ngoja tuone.....
 
Hongera mama kwa uteuzi makini. Hongera mzee jakaya kwa kuaminiwa tena!

Kazi inaendelea.
Awamu ya 4 ilikuwa inamwamini Samia.
Awamu ya 6 inamwamini wa awamu ya 4.
Aisee,nashindwa kuekewa kabisa katika watanzania 60milion
 
Back
Top Bottom