Hongera kwa wateule wote.
Teuzi ya mama imezingatia kujenga uzalendo wa taifa letu.
Taasisi zingine ni muhimu sana ziwe zinazigatia kujenga umoja na taswira ya nchi yetu, ni muhimu sana kila raia mwenye sifa akashiriki kulijenga Taifa lake, tuepuke kujaza aina mmoja ya watu.
safi sana.
sasa tuchape kazi kwa weledi na maarifa ili nchi yetu isonge mbele.
Uko sawa mkuu. kabila moja lilidominate hizi teuzi kwa 50%
 
Balaa hili
Kwenye Kesi ya Sabaya mashaidi walioporwa pesa walisema walikuwa wanamuona Sabaya akikutana na Kihongosi baada ya kuchukua pesa zao
Kwenye Kesi ya Sabaya mashaidi walioporwa pesa walisema walikuwa wanamuona Sabaya akikutana na Kihongosi baada ya kuchukua pesa zao
 
Hizi teuzi za huyu mama jamani!! Sio fair kwa kweli. Sasa hawa wengine wanaongoza vipi hizo halmashauri??!! Mbona mambo yanazidi kuharibika!
 
Back
Top Bottom