Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,204
- 4,692
Wadau wa JF.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven amemteua Bi Robinah Nabanja kuwa Waziri Mkuu wa Uganda.
Bi Robinah alizaliwa Disemba 17, 1969 na kabla ya uteuzi huu alihudumu akiwa Waziri wa nchi anayehusika na masuala ya Afya kuanzia Disemba 2019.
Bi Robinah anakuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kushika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Serikali ya Uganda.
Bi Robinah Nabanja