UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Luhanga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe kwa kipindi cha pili

Ufaulu wa darasani na u-Vice Chancellor kwa takriban miaka 18, bado unatilia shaka uelevu na uweledi katika maisha?
Hakika watu weusi hatuthamini vya kwetu.
Sikutaka kuzungumzia uelevu na uweledi wa huyo unayemwombea msamaha, ambaye anamtuhumu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chairman of the University Council, kwa kumkata 'boom' lake.
Anazifahamu kazi za Baraza la Chuo Kikuu?
Baraza ambalo lina uwakilishi mzito wa Serikali za Wanachuo?
Lakini nakushukuru kwa kuonyesha ustaarabu.
Tulia ww..hujui machungu ya kunyimwa hela ambayo utailipa badae tena kwa penalty na nyongeza ya 6% yearly
 
Professor Matthew Luhanga unamuita mpuuzi?
Hakika una matatizo ya kuongea juu ya watu usiowajua.
Prof. Matthew Luhanga ni Mwalimu wangu, miaka kadhaa kabla hajawa Chief Academic Officer wala Vice Chancellor wa University of Dar es Salaam.
Huyu msomi mahiri yupo kwenye kundi dogo sana la Watanzania ambao Mungu amewajalia 'bongo' iliyozidi kiwango.
Std 12 alipata, kwa viwango vya sasa, 'A' masomo yote.
Std 14 alipata 'A' zote.
Chuo Kikuu cha California, Marekani, shahada ya kwanza ya Uhandisi Umeme alipata 'B+' moja, nyingine zote 'A', kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa nne.
Kwa hakika, kwangu mimi Mwanafunzi wa Prof. Luhanga, nimekwazika kwa kitendo chako cha kukosa heshima na kutumia maneno yasiyofaa juu ya Msomi Mahiri sana.
Ufaulu wote huo lakini bado anaweza kushikwa akkili na akina Lusinde, Bashite, Msukuma and the like
 
Back
Top Bottom