UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Ok japo hizo hoja zako mbili napata shida kizihusanisha, hata mimi pia ni mtanzania japo kwa sasa siko huko lakini najua kila kinachoendelea, unajua hizo ndege alizinunua kiasi gani na kwa budget ip? Tuje kwenye madini, unajua mikataba yake au nani mwenye taarifa zake, bunge? Mamb ni mengi sana, huyo jamaa akitoka madarakani utashangaa sana.
Ndiyo maana mimi ni mmojawapo wa wazalendo wengi katika nchi hii wanaopenda Dkt. Magufuli asiondoke kabisa madarakani ili nisije kushangaa hata kidogo. Tulimhitaji kiongozi mchapakazi, makini mzalendo na thabiti kama JPM. Kwa hali ambayo nchi yetu ilikuwa imefikia, tunamhitaji kiongozi madhubuti ili kutuletea mapinduzi na utandulivu (reformation) chanya na halisi wa kimaendeleo.
 
Ndiyo maana mimi ni mmojawapo wa wazalendo wengi katika nchi hii wanaopenda Dkt. Magufuli asiondoke kabisa madarakani ili nisije kushangaa hata kidogo. Tulimhitaji kiongozi mchapakazi, makini mzalendo na thabiti kama JPM. Kwa hali ambayo nchi yetu ilikiwa imefikia, tunamhitaji kiongozi madhubuti ili kutuletea mapinduzi na utandulivu (reformation) chanya na halisi wa kimaendeleo.
Sawa mkuu, ila vp maswali niliyokuuliza?
 
Sawa mkuu, ila vp maswali niliyokuuliza?
Jibu lake ni rahisi tu -- JPM anatufaa sana Tanzania & Afrika kuliko tunavyoweza kudhani. Kuchagua vinginevyo au hata kuendekeza mawazo mbadala pinzani ni kosa kikatiba na kisheria linaloweza kuwekwa kundi moja na makosa mengine ya uhaini.
 
Back
Top Bottom