UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Mkuu usipuuze kuhusu maandamano kabisa ndo maana hadi leo serikali haijafungua mitandao ya kijamii licha ya hasara kubwa inayopitia.

Huwezi kujua nini kinapangwa background na wapinzani...

Bob Amsterdam’s key strategy is to destabilize the country using the country’s own sons and daughters. What a stupid bait for any patriot to take!
 
Mark my words; tutamlazimisha Mkulu wetu. Hawezi kutufanyia kazi nzuri hivi Watanzania, nchi yetu ikaheshimiwa hata na Marekani, halafu akastaafu mapema tena akiwa angali kijana vile. No way. "Atake, asitake!" ~ Mh. Spika.
"Nchi yetu inaheshimiwa hata na marekani" for the record tu si kwamba wanaheshimu ila wanafuata sheria za kimataifa.
+ ww na watanzania wapi? Unawakilisha kundi hani? Una mamlaka gani?
Its best kujisemea ww mwenyewe na kutowalisha watu maneno mdomoni.
And kwa msimamo wa rais wangu, na anapo follow footsteps za baba wa taifa. He will do yaliyomo kwenye katiba na si ya kulazimishwa na watu.
 
"Nchi yetu inaheshimiwa hata na marekani" for the record tu si kwamba wanaheshimu ila wanafuata sheria za kimataifa.
+ ww na watanzania wapi? Unawakilisha kundi hani? Una mamlaka gani?
Its best kujisemea ww mwenyewe na kutowalisha watu maneno mdomoni.
And kwa msimamo wa rais wangu, na anapo follow footsteps za baba wa taifa. He will do yaliyomo kwenye katiba na si ya kulazimishwa na watu.
He has to listen to us, the people, who voted him President. Katiba ni maandishi. Maandishi ni mawazo yetu. Mawazo yetu ni makubaliano. Hatuna sababu ya kutokubaliana. Nia na uwezo pia tunao. Watanzania tunayo kazi moja tu kwa sasa: kumhimiza Mheshimiwa Rais wetu mzalendo, mchapakazi ili aendelee kuongoza nchi yetu na kutuletea fanaka & maendeleo ya kweli, hata kama ikifika miaka buku ngapi.
 
He has to listen to us, the people, who voted him President. Katiba ni maandishi. Maandishi ni mawazo yetu. Mawazo yetu ni makubaliano. Hatuna sababu ya kutokubaliana. Nia na uwezo pia tunao. Watanzania tunayo kazi moja tu kwa sasa: kumhimiza Mheshimiwa Rais wetu mzalendo, mchapakazi ili aendelee kuongoza nchi yetu na kutuletea fanaka & maendeleo ya kweli, hata kama ikifika miaka buku ngapi.
Yes he is listening to us. But hii nchi ina taratibu. Its called katiba.
Iko hapo kwa reasons. And he said..always ataifuata katiba ya nchi. Na aliapa kuilinda juzi. He is not type of guy ku break katiba.. ili watu flani wafaidike kupitia mgongo wake.

But then again.. unaandika kama unawakilisha wingi? I would like to remind you kuwa unapoandika hapa uko alone. Huwakilishi kundi lolote lile. Let people choose.. themselved.. sio kwa kulishwa maneno.
 
Tafuta historia kwa miaka mitano ya Kwanza halafu subiría uone kwa miaka hii mitano. Magu hataki mchezo wala uzembe
Jiwe hataki mtu anayetuma akili zake, ili udumu inabidi ujifanye chizi/kichaa, unadhani yule mzee wa mimacho hana akili kiasi hicho? Mimi nasema anajua kula na kipofu na siyo kuwa mjinga kama watu wanavyomchukulia.
 
Hivi ndugu zangu, tangu 1995 mnafanyiwa ushenzi na mambo yanaisha hivi hivi. Hii CCM kweli ndio itatoka namna hii? Kura zinapigiwa majumbani na kuletwa vituoni chini ya ulinzi wa polisi. Mahakamani hamruhusiwi kwenda.

Maandamano hamruhusiwi. Jiongezeni. Mbona hawa Wakurugenzi na akina Kaijage hawakai Ikulu? Tunakaa nao huku mtaani. Tafuteni soft targets ili tuheshimiane. Hamna watu waotaka "kufa mashahidi" upande wenu huko?
Hao wapinzani na wananchi waoga sana, hawana mbinu mbadala ya kutafuta haki yao, wanasubiria ccm iwape nchi kwa njia ya vijikaratasi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardius Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania kwa kumteua Profesa Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Kilangi ameteuliwa baada ya uteuzi wa awali kumalizika leo.


=====


RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameanza kuunda Serikali atakayoiongoza kwa miaka mitano ijayo 2020-2025 kwa kumteua Profesa Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

Uteuzi huo umefanyika leo Alhamisi tarehe 5 Novemba 2020 saa chache kupita tangu Dk. Magufuli alipoapishwa na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma kuwa Rais wa Tanzania

Dk. Magufuli na makamu wake, wameapishwa kwa pamoja Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

“Profesa Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya uteuzi wa kipindi cha kwanza kumalizika leo tarehe 05 Novemba, 2020,” imeeleza taarifa ya Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Kabla ya uteuzi huo, Profesa Kilangi alikuwa AG, wadhifa alioteuliwa tarehe 1 Februari 2018 na Rais Magufuli ili kuchukua nafasi ya George Masaju ambaye alimteua kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Itakumbukwa, mara baada ya Rais Magufuli kuingia Ikulu kwa mara ya kwanza tarehe 5 Novemba 2015, alimteua Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

Masaju alishika wadhifa huo wa AG kuanzia tarehe 3 Januari 2015 alipoteuliwa na Rais wa wakati huo, Jakaya Mrisho Kikwete ili kuchukua nafasi ya Fredrick Werema.

Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani, aliendelea na Masaju kwa kumteua kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) nafasi aliyohudumu hadi tarehe 1 Februari 2018 alipomteua Profesa Kilangi.

Kabla ya uteuzi huo wa Profesa Kilangi kuwa AG, alikuwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (St. Augustine University) kituo cha Arusha na pia Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (Tanzania Petroleum Upstream Regulatory Authority – PURA).
Life president
 
Jaribu kuwashauri kupeleka ushahidi wao wa kura wanazotembea nazo kudai ni kura feki wapeleke kesi mahakamani utaona watakavyokutoa mkuku. Wanajua karatasi zote walizo nazo zina serial number moja kwa sababu ni photocopy.
Wewe uliziona?
 
Mark my words; tutamlazimisha Mkulu wetu. Hawezi kutufanyia kazi nzuri hivi Watanzania, nchi yetu ikaheshimiwa hata na Marekani, halafu akastaafu mapema tena akiwa angali kijana vile. No way. "Atake, asitake!" ~ Mh. Spika.
Je wajua, kuwa sasa hivi mnadharauliwa hata na Burundi??
 
Sina takwimu zao mkuu, vp nyie mnapima au mmeamua kuvaa miwani za mbao?
Tanzania ni nchi tajiri sana, tuna rasilimali za kila kitu -- rasilimali watu na vitu. Tulipaswa kuwa nchi hisani kwa mataifa mengine. Sasa, hujuma kubwa miongoni mwa unyonyaji wote tuliowahi kufanyiwa ni ule wa hao jamaa zako kutughilimisha bongo zetu (brainwash) kwa muda mrefu. Dkt. JPM katusaidia kufumbua macho, na hivyo korona imetoweka.
 
Tanzania ni nchi tajiri sana, tuna rasilimali za kila kitu -- rasilimali watu na vitu. Tulipaswa kuwa nchi hisani kwa mataifa mengine. Sasa, hujuma kubwa miongoni wa unyonyaji wote tuliowahi kufanyiwa ni ule wa hao jamaa zako kutughilimisha bongo zetu (brainwash) kwa muda mrefu. Dkt. JPM katusaidia kufumbua macho, na hivyo korona imetoweka.
Ok japo hizo hoja zako mbili napata shida kizihusanisha, hata mimi pia ni mtanzania japo kwa sasa siko huko lakini najua kila kinachoendelea, unajua hizo ndege alizinunua kiasi gani na kwa budget ip? Tuje kwenye madini, unajua mikataba yake au nani mwenye taarifa zake, bunge? Mamb ni mengi sana, huyo jamaa akitoka madarakani utashangaa sana.
 
Back
Top Bottom