Uteuzi: Rais Magufuli amteua Onorius John Njole kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
IMG-20190523-WA0009.jpg
 
Aisee vyeo viko vingi sana
Katibu Mkuu
Mganga Mkuu
Mkurugenzi Mkuu
Mtendaji Mkuu
Lawyer Mkuu
Kaka Mkuu na kuendelea
 
hizi teuzi nafikiri kwenye awamu zilizotangulia zilikuwa hata hazitangazwi...!! zinatuchosha.
 
Napenda kumuuliza Raisi wetu, hivi Tanzania hakuna Waislamu wanaoweza kushika nyadhifa unazotowa, kila ukuteua ni mkiristo na wengi wao ni wakatoloki tuu.

Mbona Raisi unatilea mola mbaya ya ubaguzi wa kidini, sisi tunapendankuishi kwa upendo, hatubaguani kwa kabila wala dini.

Mbona umekuwa kama Dr. DAU wa NSSF, au nae alikuwa anafanya vizuri. At least wakati wa Dau NSSF alikuwa anaingiza faida, na nssf ilikuwa na jina kubwa sana ulimwenguni.

Tafadhali Raisi wangu jitafakari, watu wanalalamika kuwa , umekuwa mdini, mkabila, mkanda na mmimi
 
Rais apunguziwe majukumu,wakurugenzi yeye,wakuu wa wilaya,mikoa,bodi mbalimbali,mawaziri,wabunge wakuteuliwa,wakuu wa vyuo vikuu nk nk ili iwe rahisi kwake kufanya kaz kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom