Uteuzi: Rais Magufuli amteua Mzee Cleopa David Msuya kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

Haya
Naona Mmeanza Kuleta Moshi Hapa
Hii Ni Kazi Ya Ruangwa!!!!!😁
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Furaha yangu tu ni kuwa; Kaikumbuka hata ile kanda angalao kidogo. Hata kufagia njia tu wengine wapite. Sikujua kama anajua kuna hiyo kanda tena. Tangu aingine 4 yrs ago hii ndo teuzi ya pili kutoka hiyo kanda
 
Huyu bwana alikuwa na umimi sana serikalini. Pia nasikia baada ya kifo cha Sokoine alifanya party kufurahia msiba huo.
 
Hahaha wana jaribu kumkomoa waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
Lakini yeye aliishasema hatorudi ccm ng'o, hata mfanyeje.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom