Hapa ni kipindi Dkt.Magufuli alipoenda kumtakia hali Mzee Malecela alipokuwa amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili na ni kipindi Anna Kilango Malecela akiwa ameshatenguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa.
Kama sielewi vile...kama walikosea kweli iweje wapewe dhamana nyingine? Inaonesha aliyewahukumu alikurupuka... Ngoja nikuulize WAFANYAKAZI/ WATUMISHI wa serikali wamekosa nini? Je nyongeza waliyostahili kupata July 2016 atakapowapa atalipa na malimbikizo? Au ndo yanachinjiwa baharini? Madaraja je? Uhamisho je? Malimbikizo ya madeni..... Tuache dhihaka.
Inamaanisha kwamba ukitumbuliwa sio mwisho wa maisha you are still SAFE!