UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Kanali Mstaafu Ramadhan Kondo Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,507
index.jpeg
 
Kuna kupata na kupatwa. Walioteuliwa wamepata na wanaoachwa wamepatwa
 
Mzee anatukumbuka kweli kama kuna vijana awajui hatima yao ajira zao zimesimamishwa wapo wapo tu
 
Succession plan ni msamiati wa kweli kwenye michizo tu ambapo ukifika 35 ustaafu unakukaribisha kwa nguvu. Upande wa pili ni kitendawili. Generation gap inakua kubwa sana sijui kwenye utendaji. Sisi wa 40+ tushaanza nusa ustaafu. Sijui uwiano ukoje huko maofisini.
 
Huwa nawaza, hivi kumpa kazi mtu aliyeajiliwa zaidi ya miaka 30 na akastaafu kuna logic wakati kuna graduates wazuri, wenye mawazo mapya na ubunifu na hawana ajira ina maana gani? Hii ni siasa na kulindana hii, haipo haki hapa.
Uenyekiti wa Bodi sio mkurugenzi mtendaji
Kunahitaji mtu aliekomaa,ndani ya board room kuna changamoto zake
Mwenyekiti wa bodi sio mtendaji hata ofisi hana kwenye shirika husika
 
Lini Ataniteua Kama Mwenyekiti wa Bodi ya Nyuki!?
NINGEMSIFIA KAMA ANGEMTEUA MZEEMWANAKIJIJI KWENYE NAFASI HIYO YA MWENYEKITI BODI YA POSTA HALAFU KABLA HAJAAPISHWA AAMBIWE ASALIMISHE IKULU VIFAA VYOTE ANAVYOTUMIA KUANDIKA MAKALA ZAKE ILI APEWE POBOX NAMBA MOJA NA AWE WAKWANZA KUANZA KUANDIKA MAKALA NA KUZITUMA KWA SLP AKIKUBALI ANAAPISHWA HAPOHAPO ILA KUMPA KANALI MSTAAFU APAMBANE NA TEHAMA LABDA AWAAMBIE POSTA WAJE NA BARUA TOKA POSTA MPAKA MAJUMBANI YA MGUU TUNAWEZA WAONEA HURUMA TUKALIPIA STEMPU NA TUKAWAPA UJI WAPATE NGUVU YA KUZUNGUKA MJINI
 
Afadhali sasa hivikakumbuka kuteua ndugu yetu katika imani yani alishstusahau kabisa
 
Lini Ataniteua Kama Mwenyekiti wa Bodi ya Nyuki!?
NINGEMSIFIA KAMA ANGEMTEUA MZEEMWANAKIJIJI KWENYE NAFASI HIYO YA MWENYEKITI BODI YA POSTA HALAFU KABLA HAJAAPISHWA AAMBIWE ASALIMISHE IKULU VIFAA VYOTE ANAVYOTUMIA KUANDIKA MAKALA ZAKE ILI APEWE POBOX NAMBA MOJA NA AWE WAKWANZA KUANZA KUANDIKA MAKALA NA KUZITUMA KWA SLP AKIKUBALI ANAAPISHWA HAPOHAPO ILA KUMPA KANALI MSTAAFU APAMBANE NA TEHAMA LABDA AWAAMBIE POSTA WAJE NA BARUA TOKA POSTA MPAKA MAJUMBANI YA MGUU TUNAWEZA WAONEA HURUMA TUKALIPIA STEMPU NA TUKAWAPA UJI WAPATE NGUVU YA KUZUNGUKA MJINI
 
heeee! kamteua mwenyekiti WA bodi sio meneja! Rais hawezi kumteua mtu aliyemaliza f.6 juzi kuwa mkurugenzi au mwenyekiti WA bodi. Vijana tumieni akili japokidogo
 
Back
Top Bottom