Upo sawasawa kiongozi?Angalau tunapata watu na majina mapya
Angalau tunapata watu na majina mapya
kwa hiyo ni wale wake siyo wapya!Alikuwa katibu mkuu ujenzi enzi za JK
Alikuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mpaka mwaka 2013. Huyu jamaa ni jembe na mtu makini sana, kwa wale jamaa wapigaji wa hela wataufyataHebert Mlango ndio nani? Alikuwa nani kabla ya huu uteuzi
Ni mpare aliwahi kuwa KATIBU MKUU wa MAGUFULIHebert Mlango ndio nani? Alikuwa nani kabla ya huu uteuzi
Mmh hivi TBC kuna hela hadi jamaa makini kama huyu kupelekwa huko, mis allocation mbaya ya resourcesAlikuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mpaka mwaka 2013. Huyu jamaa ni jembe na mtu makini sana, kwa wale jamaa wapigaji wa hela wataufyata
Hebu fafanua kama nikweli usemayoAlikuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mpaka mwaka 2013. Huyu jamaa ni jembe na mtu makini sana, kwa wale jamaa wapigaji wa hela wataufyata
Sasa hapo afafanue nini zaidi?Hebu fafanua kama nikweli usemayo
Kama una jamaa yako anafanya kazi ujenzi muulize ili usije ukaniona niko biased mkuuHebu fafanua kama nikweli usemayo
Sina jamaa anaefanya huko wee funguka unavyomjua Hurbert MrangoKama una jamaa yako anafanya kazi ujenzi muulize ili usije ukaniona niko biased mkuu
Mpare? Hivi wapare hawafai au ndio wanafaa kwenye hio nafasiNi mpare aliwahi kuwa KATIBU MKUU wa MAGUFULI