Uteuzi na kutimuliwa kazi majaji

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Wadau, dogo kaniuliza swali ambalo hata mimi limenigonga hivyo ningependa kupata ufafanuzi toka kwa wadau. Eti, pamoja na kwamba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndie anateua majaji lakini hana uwezo wa kuwafukuza!!!!Sikutaka kumbishia dogo manake ningeweza kumbishia halafu akaniletea ushahidi mzee mzima nikaumbuka hasa ukizingatia ndo kwanza dogo mwenyewe ni Form III!!!! Je, jambo hili ni kweli au si kweli? Naomba ufafanuzi!!!
 
ni kweli kabisa yaani ujaji haufutiki i ukuhani milele
 
Back
Top Bottom