Uteuzi na kutimuliwa kazi majaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi na kutimuliwa kazi majaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NasDaz, Nov 17, 2010.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Wadau, dogo kaniuliza swali ambalo hata mimi limenigonga hivyo ningependa kupata ufafanuzi toka kwa wadau. Eti, pamoja na kwamba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndie anateua majaji lakini hana uwezo wa kuwafukuza!!!!Sikutaka kumbishia dogo manake ningeweza kumbishia halafu akaniletea ushahidi mzee mzima nikaumbuka hasa ukizingatia ndo kwanza dogo mwenyewe ni Form III!!!! Je, jambo hili ni kweli au si kweli? Naomba ufafanuzi!!!
   
 2. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa yaani ujaji haufutiki i ukuhani milele
   
Loading...