Ndio maana yake na nguzo ikichakaa wakija kubadilisha hakuna kuichukua waniachie gogo langu nichanje kuni.Ata hiyo elf 27 bado ni nyingi. Maana kuna makato kibao kila ukinunua umeme. Au wa weke kukatwa kiasi fulani cha hela kwa mwezi kufidia hizo nguzo. Suala la kulipia nguzo alafu inabakia kua nguzo yao ni wizi huo. Kama vipi waseme kabisa nguzo ni ya mteja
Waziri wa madini ni Doto Biteko wewe.Wamemuweka Makamba ili wauze migodi wajaze account zao.
Rizi moko yuko jikoni anapikwa..soon utamwona mezani.May be ! Ex-speech writer wa JK yawezekana Mkwere anamuandaa na PM awe Ridhwani! Si nchi mali yao bhana!
HongeraKongole maana yake nini?
Ila kumbuka alikuwa Waziri katika Wizara hiyo wakati wa Mwendazake.Kazi iendelee.
Hivi mawasiliano ni jambo la muungano? Mbona Makame ameteuliwa kwenye wizara ambayo sio ya Muungano wakati yeye ni Mzanzibari?
Ama ndio zamu ya wazanzibari?
Tanesco ni utility company hawauzi vifaa vya umeme lile ni shirika linalotoa/linalouza huduma na sio shirika linalouza vifaa. Ukielewa hilo hutatoa hoja zako hizo.
Mkuu fungua codes hizo tafadhali.Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Usipende kuwaita watanzania wanyongeUkiondoa uteuzi wa waziri wa Ulinzi, tengutengua zingine zinahitaji maelezo ili wananchi waelewe.
Yaani serikali yajifanyia mambo yake inavyoona inafaa huku ikisalimu amri kwa mashinikizo kutoka upande ule.
Pole nyingi ziwaendee watanzania wanyonge.
Hakuna jipya ccm watu wale wale ni kutesa tu kwa zamu tunahitaji katiba mpya tuondokane na watu kuteuliwa kwa influence ya mtu fulan
Ndio shida ya watanzania wanaona sasa tu kisa mama ndio kafanya ila huko nyuma kipindi cha mwendazake akiyafanya haya walikua kimyaKabudi, Ndalichako, Mpango wakati wanateuliwa kwa mara ya kwanza hawakuwa wabunge
Anakwenda kuweka woman’ touch and perception kwenye ufanisi nzima wa wizara ya ulinzi. Jambo la kusubiri na kuona.DR. Tax ameteuliwa kuwa waziri wa ulinzi