UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

Alikuwa mkurugenzi Wa Africa media Group (Channel 10,Magic FM na Classic FM)

FB_IMG_16232443325632644.jpg
 
hamna shida ni bora apange na kupangua kadiri anavyotaka na kujaaliwa, ili hapo baadae isije ikatuwa lawama kwa waliokuwepo kwamba hawakuwa chaguo lake,ifike siku tujue ameishaclear vilivyoachwa na sasa ni vyake ili tufaidi mambo yake .
 
Back
Top Bottom