Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,602
- 4,266
Ni roll zinazoendana sanaKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Ni roll zinazoendana sanaKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Si vibaya tukipata picha yake.Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Kwani dk. Abbas na Msingwa enzi za mwendazake walikua kitu kimoja?Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Bora Mahela alitolewa hapo mapema.Mzaliwa wa Tanganyika au Zanzibar ?
Nilitegema hili litaibuka kwa watu wasio na hoja.dini moya
Msigwa sasa atakuwa kama GeorgeMkuchika ambaye ni Waziri katika ofisi ya rais KAZI MAALUMU!!Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
😁Hili Swali kwanini hukuliuliza wakati wa Dictator....!?
Hii siyo awamu ya 5 ,hii ni awamu ya 6 uwe na adabuKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Alikuwa kichefu chefu sanaBora Msingwa amefutika rasmi kwenye Ikulu yetu
Naona team jiwe yoote inafutiliwa mbaaliLazima mama awake watu wake anaowaamini, ili siri za serikali kutoka Ikulu zitunzwe vizuri
Labda wewe siyo mwana ccmTupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Ok!!Alikuwa mkurugenzi Wa Africa media Group (Channel 10,Magic FM na Classic FM)
View attachment 1813354
Lainisha lugha tafadhali....hapo imekuwa ngumu kweli kweliHii siyo awamu ya 5 ,hii ni awamu ya 6 uwe na adabu
Udini utaacha lini? jenga hoja sio kuleta udini wako hapa 🤔dini moya
Una uhakika sikuuliza?Hili Swali kwanini hukuliuliza wakati wa Dictator....!?
Mimi sina Chama. Tumwagie CV yake hapa.Labda wewe siyo mwana ccm