Utetezi wangu wa wazi wa William Ngeleja - The use of Emergency Powers Act 1986

Watu wanasema ati kuna "hali ya dharura"; kwa miaka yote hii karibu ishirini hawajawahi kutangaza rasmi hali ya dharura. Wanachofanya ni kuliingiza taifa kwenye "mikataba ya dharura" bila kutangaza hali ya dharura. Huu ulikuwa ugomvi wangu na Lowassa alipounda ile tume ya dharura wakati wa Richmond. Hakuwa na madaraka hayo - isipokuwa Rais tu.

Hata leo hii, badala ya kumtaka Rais atangaze hali ya hatari ili ajirudishie madaraka aliyonayo kisheria na kuweza kuliondoa tatizo hili watu wamekubali kuahirisha mjadala ilii waje baadaye wazungumzeeeeee na Watanzania wafurahia " wabunge walikuwa wakali kweli". Ukweli uliopo mbele yetu ni kuwa hawataki kutangaza hali ya dharura kwa sababu wakifanya hivyo wanajifunga kisheria kutatua tatizo kwa haraka zaidi!

Mtu pekee anayeweza kufanya hivi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye akitaka na akilazimishwa na wabunge anaweza kutangaza hali ya hatari kesho, keshokutwa akaigiza mitambo ya dharura, paid, owned and operated by the Tanzanin Government! Aidha kuna hali ya dharura kweli au hakuna - kama hakuna mnaweza kujivuta vuta taratibu na kukaa chini na vikamati, kuzungumza hadi mtondogoo kwani siku 21 ni kupoteza muda mwingi sana kwenye uchumi.

Sasa kumbe jibu liko wazi, Kama tatizo ni kwamba raisi hajatangaza hali ya hatari, je Ngeleja ameshamshauri Raisi kufanya hivyo?, kama hajamshauri kwa nini hajafanya hivyo? na hiyo inakuwa ni sababu ya msingi kabisa ya yeye kujiuzulu, kwa maana kwamba ameshindwa kumpa ushauri mzuri mheshimiwa raisi kutatua tatizo hilo. Hata hivyo pia kama ameshamshauri Raisi na Raisi amekataa ushauri wake au anajivutavuta ni sababu nyingine pia pia ya yeye Ngeleja kujiuzulu.

Excuse ya Kwamba Watanzania hatujawahi kuwa na umeme wa Uhakika kwa hiyo tusimwajibishe Waziri aliyekalia kiti hicho kwa miaka Sita ni ya kushangaza!, Watanzania bado tunakumbuka ahadi mbalimbali za ngeleja kutatua hili tatizo, lakini badala ya kupungua ndiyo kwanza linaongezeka, kutokana na Ngeleja kushindwa kutimiza ahadi zake za kutatua Umeme toka mwaka 2005 ni dhahiri hivi sasa anapaswa kujiuzulu.

Kiukweli kabisa serikali nzima ya JK inapaswa kujiuzulu , lakini Raisi kujiuzulu hilo jambo ni zito mno na ukichanganya na tatizo hili la umeme nchi inaweza kuyumba zaidi na hivyo Ngeleja inabidi ajiuzulu kwa niaba yao kwa kuwa kwanza yeye ndo mwenye dhamana ya umeme.

Ngeleja anaonekana hana vision, leo tuna mpango wa kuuza Uranium lakini hajaja na sera/mpango wa muda mrefu kutumia madini hayo kuzalisha umeme.

Ngeleja hana mpango wa kukidhi mahitaji ya umeme wa miaka 10 ijayo ambapo uzalishaji kutokana na viwanda na maongezeko ya mahitaji ya nyumbani kuwa yameongezeka kipindi hicho.

Ngeleja ameingia mkataba wa kuzalisha umeme na Symbion bila kufuta taratibu za procurement, kutangaza tenda na kushindanisha kampuni tofauti tofauti.

Hata raisi akitangaza hali ya hatari still Ngeleja ndo atakuwa incharge, kama ameshindwa kuja na japo ya kiduchu ya solution kwa miaka sita aliyokalia kiti cha wizara unategemea atakuwa na ugenius gani wa kutatua tatizo hilohilo in one to three months?.

I think Ngeleja should go

Longolongo na talalila za nini? Kama mpo mnaojua nini cha kufanya si mkifanye basi mtunusuru kutoka kwenye hii adha ya mgao usio na mpangilio.

Sijawahi kuona mimi mtu anayetaabika kuendelea kutaabika huku akiwa anajua nini cha kufanya kuondokana na tabu anazozipata. Sasa kama wengi wa Watanzania wanajua nini cha kufanya kama ulivyosema halafu hawakifanyi basi nashindwa kabisa kuelewa!!!
Afisa.... Kujua ni nini cha kufanya ili utatue tatizo na kutatua tatizo ni vitu viwili tofauti.

1.Kushindwa kuleta mapenedekezo ya kuteta mbinu na njia ya haraka inayotekelezeka ili kupata umeme kwa haraka kutoa nchi  katika giza.

2.Kwa kuamini kuwa hana njia wala mawazo ya kutatua tatizo la umeme wakaamua na watendaji wakewizarani  kuhonga kwa kukusanya mil 50. toka kila idara.Na hili lazima naye anahusika haliwezekani kufanyika bila ufahamu wake

3.Pia Angali anajua sera ya serikali kuhamia Dodoma yeye kwa kufahamu kabisa anapanga kujenge jengo la wizara DSM, hapa kuna harufu ya rushwa pia.

4.Kwa kushindwa kuja na mawazo mbadala katika miezi sita  sasa je tukimpa mda wawiki tatu  tunategemea madudu zaidi hivyo awajibike ili wenye uwezo na mawazo mdadala ya kuleta tija.

5.KUSHINDWA kutatua ukosefu wa umeme wa na badala yake analeta miradi mipya ambayo ni hadithi za abunuasi.

6.Kukosa umakini katika utendaji kwa kuleta vitabu vyenye kasoro nyingi ambazo zilitakiwa aweamezirekebisha kabla ya kuleta bungeni

7.kushindwa kuwataja nani wanahusikika na matatizo ya umeme ili wawajibishwe la ni yeye awajibike

hivyo wanajamvi hakuna kitu kitawanasua Ngeleja na watendaji wakuu wa wizara kutowajibika na ni kwa maslahi ya nchi
nawasilisha

Just think about it for a second. We are approaching 50 years of independence and reliable electricity is still a major problem. How could that be? The answer I get is we can't fix/ solve the damn problem. We can talk all we want...theorize day and night...moan and groan ad infinitum.....but at the end of the day it is our action(s) that will rid us of the crisis. Talk ain't gonna cut it. Now the million dollar question is who can do it? So far no one can.
NN
I can not do it but i can lead the better process in Doing it .

Wewe unaweza kweli kulitatua hili tatizo? Punguza kushinda Samaki Samaki labda ipo siku utaweza

Mimi siwezi ndio maana nimekimbia. Ila wewe uzoefu wako wa kutumia 'dali' kubeba maboksi unaweza saidia kupandisha umeme. Rudi katatue tatizo.

Oh yeah? Good to hear that.

NN kwani wewe wewe huwezi??????

Ni hivi Wansiasa wanatakiwa kusillikiza wataalam na sio tu kufuta sera za vyama. Sera ya CCM ni kupeleka umemem vijijini. wameejikuta wanapeleka mgao vijijiji. So jibu la kwaaza ni wanasiasa kukubali kuwa tatizo la suluisho la Tatizo la umeme litafuata ushauri wa wataalamu

Waziri anaogopa kusema wazi anasitisha miradi ya kupeleka umeme vijijini na wilayani na badala yake prority kwanza iwe kuwezesha uzalishaji wa huo umeme. So kama kiongozi kwenye sekta ya umeme pamoja na matatizo mengi hakuna proority resoruces ndogo zilizopo za fedha zitumike wapi vipi na wapi kwa muda muafaka. Serikali na Taanesco wakiorgaise reosouce zao vizuri wanaweza in one yar kuzalisha 100 MW chini ya umiliki wao na Sio richmond wala IPTL.

Una Miradi ya kusambaza umeme kweye wilaya kama10 kwa gharama ya eg shilingi 200. una miradi ya kuzalisha umeme ya thamni ya shilingi 200. Wakati huo hata kabla hiz wilaya hazijangia umeme ulikuwa hautoshi. Allocate maxium resosrces kwenye kzlisha then baadae uzipeleke kwenye kusambaza. Kisiasa haya ni maamui magumu lakini

Kuwaagiza Tanesco waaangalie njia mpya ya kufanya business. Tanesco kwenye mikoa na maeneo yasiyo na grid ya taifa wanatakiwa kuwa na vitengo vya solar na energy mbadala. Hii wataaalam kwa kimombo wanasema ni new ways of doin things.

Kifupi wanahitajika watu wenye creative ideas sio watu waliozoea kufanya kazi kwa utaratibu ule ule.

Kumbe mwenzangu wewe unazo solutions tayari...? Sasa kwa nini unazibania bana....hebu mvutie waya JK umpe mi ideas yako bana

Sasa Serikali makini imeacha tatizo sugu la uzalishaji litegemee Private Solutions na mpaka sasa hawajashtuka. Serikali yenyewe imejikita kwenye electrification. Miradi mingi ya serikali Kuzalisa umeme inategema wafadhili lakini miaradi ya kusambza umeme ni ya serikali. Matokeo yake wafadhli wengine ndio wanakufadhili mradi ili uingie mkataba na IPTL.

Financilay hatuko stable lakini kwenye mambo nyeti inabidi wanasiasa wawe mkaini wanapodili na hao donors wa hizi project. Hivi Jeshini kuna Donors gani?

Sasa IPTL kuna mradi wa kubaldilisha mitambo yao ili itumie mafuta ya gharama nafuu. Hapa naamin hii ni serikali inaigia gharama za kmapuni binafsi ili iuziwe umeme wa bei nafuu.

Kumbe mwenzangu wewe unazo solutions tayari...? Sasa kwa nini unazibania bana....hebu mvutie waya JK umpe mi ideas yako bana

hahahhahahaha NN bana hapa tunapiga soga tu mambo kwisha. Sometne unahisi labda JK au muhusika mwenyewe anweza kupita hapa akasoma, akaelewa . akafiria akalifanyia kazi.

Nilishawai kujaribu ile number yake JK wapi. Nilitaka kumashuri kitu imja kuhusu elimu. lakini uzoefu wangu ni ule ule taasisi zetu hazina utaratibu wa kupokea feedback. Hizo Tovuti wanazoanzisha na simu zao ni kama fashion tu.Kuna wizara kama tatu au nne nimewai kupiga simu au kuacha comment ni kichekessho.

Kuna moja ilikuwa kali kuliko zote baada ya kuongea na muhusika( Sio ikulu) akanijibu issue nayomwambia wameionglea jana kwenye kikao. na itafanyiwa kazi. Mwaka mmoja baadae nadhani bado wako kwenye mchakato....... teh teh teh teh

Mwanakijiji niseme tu umefanikiwa kwa 0% ktk utetezi wako wa wazi kwa Ngeleja.

I hope you are not suggesting hiyo list ndefu ya observation zako kuwa Ngeleja hana uwezo wa kuziona au hajaziona, ether way ni ukweli ni kuwa Ngeleja is a terrible leader.

Whatever weakness that you have pointed including lack of funds Ngeleja "the minister" should have known better and subsequently come up with appropriate and workable strategies.

Mzee mwanakijiji,
Sera ya nishati,1992 ambayo ilikuwa revised later (2003) ilidhamiria kuiondoa serikali kwenye uwekezaji wa umeme.Serikali hapo ndipo ilipoharibu,kuanzishwa kwa EWURA ni mojawapo ya hatua ya kuiondoa serikali kutoka kwenye role ya provider to facilitator.Hii ilitokana na masharti toka IMF na World Bank(Enhanced SAP).
Tungeyakataa haya masharti tusingepata misaada,na tungemuudhi sana Mzee wenu wa baraza,Edwin Mtei ambae wafuasi wake wa kiuchumi wamejaa humu jamvini wakiishambulia CCM kwa kukubali hayo masharti.
Duuh!! wakuu mnatuchenjia laivu.....leo mnataka azimio lirudi,juzi mlitaka market economy.

nimeipenda lakn natofautiana na wewe katika mambo mawili ya msingi, la kwanza n kufanansha tatzo la umeme na rubber band kwan pamoja na kuongezeka kwa mahtaj lakn uzalishaji wa umeme umeshuka ki2 ambacho kimepunguza kiwango cha umeme kwenye grid ya taifa hvyo swala la umeme na matokeo ya upungufu na ongezeko la matumiz.
Pili swala la rais kutumia emergence act siliafk hasa ktokana na hstoria ya maamuz mabovu ambayo mkuu wa nchi ameuonyesha kwa kpnd cha muhura wake, hvyo kumpa nguv hyo itakuwa n sawa na kumpa rungu kcha kwenye duka la viyoo.
Lakn in most case nakubaliana na wewe.

Sasa kumbe jibu liko wazi, Kama tatizo ni kwamba raisi hajatangaza hali ya hatari, je Ngeleja ameshamshauri Raisi kufanya hivyo?, kama hajamshauri kwa nini hajafanya hivyo? na hiyo inakuwa ni sababu ya msingi kabisa ya yeye kujiuzulu, kwa maana kwamba ameshindwa kumpa ushauri mzuri mheshimiwa raisi kutatua tatizo hilo. Hata hivyo pia kama ameshamshauri Raisi na Raisi amekataa ushauri wake au anajivutavuta ni sababu nyingine pia pia ya yeye Ngeleja kujiuzulu.

Excuse ya Kwamba Watanzania hatujawahi kuwa na umeme wa Uhakika kwa hiyo tusimwajibishe Waziri aliyekalia kiti hicho kwa miaka Sita ni ya kushangaza!, Watanzania bado tunakumbuka ahadi mbalimbali za ngeleja kutatua hili tatizo, lakini badala ya kupungua ndiyo kwanza linaongezeka, kutokana na Ngeleja kushindwa kutimiza ahadi zake za kutatua Umeme toka mwaka 2005 ni dhahiri hivi sasa anapaswa kujiuzulu.

Kiukweli kabisa serikali nzima ya JK inapaswa kujiuzulu , lakini Raisi kujiuzulu hilo jambo ni zito mno na ukichanganya na tatizo hili la umeme nchi inaweza kuyumba zaidi na hivyo Ngeleja inabidi ajiuzulu kwa niaba yao kwa kuwa kwanza yeye ndo mwenye dhamana ya umeme.

Ngeleja anaonekana hana vision, leo tuna mpango wa kuuza Uranium lakini hajaja na sera/mpango wa muda mrefu kutumia madini hayo kuzalisha umeme.

Ngeleja hana mpango wa kukidhi mahitaji ya umeme wa miaka 10 ijayo ambapo uzalishaji kutokana na viwanda na maongezeko ya mahitaji ya nyumbani kuwa yameongezeka kipindi hicho.

Ngeleja ameingia mkataba wa kuzalisha umeme na Symbion bila kufuta taratibu za procurement, kutangaza tenda na kushindanisha kampuni tofauti tofauti.

Hata raisi akitangaza hali ya hatari still Ngeleja ndo atakuwa incharge, kama ameshindwa kuja na japo ya kiduchu ya solution kwa miaka sita aliyokalia kiti cha wizara unategemea atakuwa na ugenius gani wa kutatua tatizo hilohilo in one to three months?.

I think Ngeleja should go

Kutangaza hali ya hatari ni prerogative ya Rais. Halazimishwi na yeyote, na hashauriwi na yeyote. Bunge kama wawakilishi wa watu wanaweza kutoa tamko la kumtaka Rais kufanya hivyo. Rais akitangaza hali ya hatari anaweza hata kumteua Waziri wa Nishati wakati wa Dharura na kumwacha Ngeleja ashughulikie mambo mengine.

Mzee mwanakijiji,
Sera ya nishati,1992 ambayo ilikuwa revised later (2003) ilidhamiria kuiondoa serikali kwenye uwekezaji wa umeme.Serikali hapo ndipo ilipoharibu,kuanzishwa kwa EWURA ni mojawapo ya hatua ya kuiondoa serikali kutoka kwenye role ya provider to facilitator.Hii ilitokana na masharti toka IMF na World Bank(Enhanced SAP).
Tungeyakataa haya masharti tusingepata misaada,na tungemuudhi sana Mzee wenu wa baraza,Edwin Mtei ambae wafuasi wake wa kiuchumi wamejaa humu jamvini wakiishambulia CCM kwa kukubali hayo masharti.
Duuh!! wakuu mnatuchenjia laivu.....leo mnataka azimio lirudi,juzi mlitaka market economy.

acha hizo.. I'm a Nyerereist katika mtazamo na maoni.

Mwanakijiji Bunge lipi lenye uwezo wa kumwajibisha Rais? Bunge la Tanzania limejaa porojo na mipasho tu hawana uwezo huo.
mzee kamanda mzima anaweza kuwajibika. Rais anaweza kujiuzulu na Bunge kama linaona hana uwezo wa kuongoza linaweza kumuondoa madarakkanin na makamu wake akaingia bila kulazimisha uchaguzi mkuu. Kama wana CCM wanataka kuwa wakweli wamuondoe Rais madarakani ili aingie RAis mwingiine mwenye uwezo wa kuwafuatilia mawaziri wake.

Hivi ni wakati gani viongozi wanaoteuliwa au kuchaguliwa, wanaanza kuwajibika kwa kazi wanazofanya? Kila tatizo lina chanzo chake, kwa misingi ya hoja za hii post, hatutakuja kumwajibisha kiongozi yeyote maana kila mtu anaweza akamsingizia aliyemtangulia. Tunaweza tukamlaumu hata Nyerere kwa kutowekeza kwenye Stiegler Gorge maana naye aliishia ktk upembuzi, au tuwalaumu wakoloni!

Kama umepata kazi ya upishi, inapita miezi na hata miaka kadhaa hujapika chakula chochote na bado unapata mshahara, inabidi ujiulize kama bado unastahili hiyo nafasi. Ngereja anastahili kuwajibika yeye mwenyewe kwa kushindwa kufikia matazamio ya nafasi aliyopewa.

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom