Utetezi wangu wa Mhe. Sophia Simba dhidi ya Ukosoaji usio wa haki

Wadau mijadala mingi inajadiliwa na kuachwa tu hewani nikimaanisha hakuna hitimisho sasa mi naona nihitimishe hivi MMM mwanakijiji kachemsha kumtetea Mama Simba basi tusubili awahoji wagombea wengine yaani mama kahama na mama .....
nb: usihoji nina ma´mlaka gani kuhitimisha hayo ni maoni yangu na nina haki nayo sambamba na kuwajibika kwayo!
 
si kila wakati mwanakijiji akisema anapenda kitu fulani au akimtetea mtu fulani basi iwe hivyo. yawezekana akawa anafanya joke !
 
MMM, nimepata fursa yakuisikiliza interview yako na Waziri Simba, binafsi nimependa sana mlolongo wa hayo mahojiano, na kwa kweli sijaona ishu kubwa ambayo wakosoaji wameweza anika katika analysis zao.

Mtazamo wangu, katika jamii utakuta tuu watu wenye fikira tofauti, hili mimi ninaona ni afya. Tutasikiliza yale yanayo make sense na hayo mengine we just ignore.

ps: ukisaga mahindi, unapata uga safii, ila pia kuna pumba.....
 
Thanks skasuku;

Binafsi kilichonikwaza ni namna ambayo M.M.M alivyoibuka na kutoa utetezi na si kwamba Bi. Simba hakuhitaji utetezi. M.M.M ametumia dk 15 kurudia-rudia yanayofahamika na kuacha ku-justify mapungufu ya wanaominga Bi. Simba...

Sijui wengine, ila kama ulivyoanalyze wewe, wengine wamegusa upande wa Inerview Yenyewe, na baadhi wanaangalia utetezi wenyewe

Lakini kama ilivyo ada, kila mtu ana uhuru wa kuwa na different opinion al'mradi asivunje sheria
 
Lakini kama ilivyo ada, kila mtu ana uhuru wa kuwa na different opinion al'mradi asivunje sheria

- On the record ni kwamba kuna siku one on one niliwahi kumuambia Auntie Sophia, kuwa hapa JF sio mahali pa mchezo, I am glad kwamba finally amejionea mwenyewe on the real meaning ya smart demokrasia.

- Hakuna sheria yoyote ya nchi au ya JF iliyovunjwa kwa wananchi ku-respond on her childish behavior kwenye hii interview, baada ya kushinda uchaguzi ni wakati wa mshindi kuonyesha muongozo of what atalifanyia taifa, ulikuwa ni wakati wa Sophia ku-extend mkono wake wa upendo kwa Mama Janet ili kuondoa makundi ndani ya chama, ulikuwa ni wakati wa kumtafutia Mama Janet a role katika uongozi wa huko UWT in the spirit of inclusiveness.

- Badala yake, ameonyesha kutojiamini kabisa kwamba hakutegemea kushinda, maneno mengi ya kiburi na dharau yakiwa na maana kwamba yeye anajuana na rais, kwani kina Lowassa na Karamagi hawakuwahi kuwa na hicho kiburi cha kujuana na rais? wako wapi sasa? Hivi kila kiongozi aanze kuongelea elimu yake patakalika kweli? Hivi ni lini Mwalimu aliwahi kujigamba on his elimu? Si viongozi safi wanaojiamini huwa wanajigamba on their accom-plishments to the work of the people sasa huyu Sophia anasema nini hasa?

- I mean sijui ana washauri gani na kama anao, ila mimi ningekua ni yeye ningewafukuza wote mara moja, lakini one thing ni kwamba JF tutaendelea kuchambua viongozi na siasa zetu as they come bila kujali nani ni nani kwa sababu ukiondoa hiyo ambao ndio hasa uti wa mgongo wa hii forums, basi hatutakuwa na sababu tena ya kuwepo hapa.

Kwenye hii interview waziri Sophia amechemsha tena sana, na I will find a time kumuambia mwenyewe one on one, kwamba it was horrible iwapo ana matumaini ya kusonga mbele kisiasa, maana kuna siku rais wa sasa hatakuwa rais tena na kwa mwendo huu wa tabia aliyoionyesha kwenye hii interivew sijui atasimamia wapi, na this has nothing to na aliyemu-interview tatizo ni lake mwenyewe Auntie Sophia.

JF siku zote tutaendelea kua what we are yaani JF kumkoma nyani na where we dare!

Thanxs!
 
Nikiri ya kwamba nimesikitishwa na kushangazwa sana na baadhi ya ukosoaji wa Mhe. Simba kufuatia mahojiano yangu naye siku chache zilizopita. Kilichonisikitisha zaidi ni jinsi gani baadhi yetu tuna angalia vitu ambavyo si vya msingi na kuviacha vya msingi; kilichonishangaza zaidi ni jinsi gani wengine wamekuwa wa kali kiasi cha wao wenyewe kuwa kile wanachomtuhumu Mhe. Simba.. arrogance!

Katika mahojiano yangu na watu mbalimbali (kama Dr. Migiro, Dr. Salim, na wengineo) sijawahi kujaribu kumtetea mtu yeyote kwa majibu yake. Hata hivyo katika hili la Mhe. Simba nimeona kilele cha kebehi na kina cha parapanda ya unafiki wa uongo. Wengi wamemhukumu Mhe. Sofia kwa ukali ambao haukustahili na umeenda zaidi ya ukosoaji wa kumjenga mtu!

Kwa hawa nina ujumbe ufuatao: Sikiliza!

BONYEZA HAPA KUSIKILIZA

Hapa hueleweki;

Fisadi ni fisadi tu; nhata akiwa na maneno matamu; hilo lijue; alipata kura nyingi kwa kampeni chafu na hilo sio siri ( a pig is a pig) sana sana hatukuelewi
 
Nikiri ya kwamba nimesikitishwa na kushangazwa sana na baadhi ya ukosoaji wa Mhe. Simba kufuatia mahojiano yangu naye siku chache zilizopita. Kilichonisikitisha zaidi ni jinsi gani baadhi yetu tuna angalia vitu ambavyo si vya msingi na kuviacha vya msingi; kilichonishangaza zaidi ni jinsi gani wengine wamekuwa wa kali kiasi cha wao wenyewe kuwa kile wanachomtuhumu Mhe. Simba.. arrogance!

Katika mahojiano yangu na watu mbalimbali (kama Dr. Migiro, Dr. Salim, na wengineo) sijawahi kujaribu kumtetea mtu yeyote kwa majibu yake. Hata hivyo katika hili la Mhe. Simba nimeona kilele cha kebehi na kina cha parapanda ya unafiki wa uongo. Wengi wamemhukumu Mhe. Sofia kwa ukali ambao haukustahili na umeenda zaidi ya ukosoaji wa kumjenga mtu!

Kwa hawa nina ujumbe ufuatao: Sikiliza!

BONYEZA HAPA KUSIKILIZA

Hapa hueleweki;

Fisadi ni fisadi tu; hata akiwa na maneno matamu; hilo lijue; alipata kura nyingi kwa kampeni chafu na hilo sio siri ( a pig is a pig) sana sana hatukuelewi
 
Back
Top Bottom