Theoretically yes lakin practically kwa nyakati zile nani ndani ya hicho chama angemkatalia Jiwe mwenye mamlaka ya kimungu ya kikatiba? Labda mpinzani lakin siyo mwanassm.Kama yalikuwa ni maagizo halali, basi alilazimika kutayetekeleza, lakini kama hayakuwa halali, kutotekeleza haiwezi kuwa insubordination!
HOWEVER, ili "kuheshimu" mamlaka, tena mamlaka yenyewe ya Kiafrika, ingekuwa ngumu kwake kusema HAPANA lakini alitakiwa kujihuduhulu ili kupisha wengine ambao wangekuwa tayari kufanya mambo yaliyo kinyume cha sheria!
Unajua haya makosa ya dogo ukiiyaangalia kiuhaki kabisa si yake, na wala si ya mwendasake, bali ni ya katiba. kwa asilimia karibu 95 mateso ya watanzania, hasa wanayopewa na wanasiasa, yanatokana na katiba mbovu na dhaifu