JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Yeye alimtaja Magufuli kama mamlaka yake ya uteuzi
..nadhani amelenga kupata MSAMAHA WA RAISI baada ya kutumikia kifungo kwa muda mfupi.
..inawezekana operesheni anazozungumzia Sabaya zilikuwepo kweli, na yeye alishiriki, sasa vijana waliotumika namna hiyo huwa wanalindwa.
..ikiwa Sabaya atapatikana na hatia nadhani kuna watu ndani ya system ambao watampigania apate huruma ya msamaha wa Raisi.