Utetezi wa Sabaya: Ametanua uwanja, ana mengi ya kuyathibitisha. Porojo hazitatosha kumnasua!

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,544
2,000
Tumia akili kudigest info, Sabaya hajakiri kupiga au kufanya unyang'anyi wa siraha. Amekiri kuwepo Arusha kwa operation maalumu kudeal na wahujumu uchumi. Na anadai alitulwa na hayati JPM huku waziri wa fedha akiwa anafahamu. Sasa kwa nini Mpango asitoe ushahidi.
Chagu wa Malunde njoo usome UGORO wako hapa kama una ujasiri
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,544
2,000
Sabaya ameshajimaliza, kitendo chake cha kukiri kuwepo eneo la tukio hata kama anadai alitumwa na mamlaka husika kujinasua kwake itakuwa vigumu, je, alifuata sheria kuingia eneo la mwingine? alikuwa na kibali? kama hakuwa nacho hakuwa na tofauti na jambazi alietumia silaha kufanya uvamizi, hapa Sabaya ameshakiri kosa.
denooJ, hapa ulitoa hukumu iliyonyooka. Hongera
 
mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,789
2,000
Hivi we mwanasheria njaa unajua kuanalyze facts? Amekiri kuhusika na operation dhidi ya ujujumu uchumi ndio maana anadai alitumwa kwa kazi maalumu, hajakiri kushiriki ujambazi.

Kama mwanasheria ebu tupe ingredients za armed robbery alafu oanisha na tukio la Sabaya. Acha ushabiki

We Fara uje upitie makoment yako ya kijinga Kwenye thread hii
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,903
2,000
Sabaya ameshajimaliza, kitendo chake cha kukiri kuwepo eneo la tukio hata kama anadai alitumwa na mamlaka husika kujinasua kwake itakuwa vigumu, je, alifuata sheria kuingia eneo la mwingine? alikuwa na kibali? kama hakuwa nacho hakuwa na tofauti na jambazi alietumia silaha kufanya uvamizi, hapa Sabaya ameshakiri kosa.

Beberu anasema: "You saw it coming!"

Nenda Sabaya nenda. Kumbe hukujua Mungu yuko kazini 😁😁.
 
lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
1,779
2,000
Wewe huna tofauti na Rais Samia kwenye kesi ya Mbowe maana umeshamtia hatiani Sabaya kabla ya maamuzi ya Mahakama. Kumbe mamlaka ya uteuzi wa Sabaya ilikoma baada ya Magufuli kufa? Kwa maana hiyo wale wote walioteuliwa na Magufuli hawana uhalali wa kuendelea na nyadhifa zao? Umeandika ki-BAVICHA mno
Njoo upige porojo tena
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,903
2,000
Hivi we mwanasheria njaa unajua kuanalyze facts? Amekiri kuhusika na operation dhidi ya ujujumu uchumi ndio maana anadai alitumwa kwa kazi maalumu, hajakiri kushiriki ujambazi.

Kama mwanasheria ebu tupe ingredients za armed robbery alafu oanisha na tukio la Sabaya. Acha ushabiki

Kamanda Asiyechoka upo?

Hizi mambo za Mungu yuko kazini na vigoli wa kuoa, muwe mnazikumbuka mwanzoni siyo mwisho 😁😁
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom