Utetezi wa Sabaya: Ametanua uwanja, ana mengi ya kuyathibitisha. Porojo hazitatosha kumnasua!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,863
2,000
Yeye alimtaja Magufuli kama mamlaka yake ya uteuzi

..nadhani amelenga kupata MSAMAHA WA RAISI baada ya kutumikia kifungo kwa muda mfupi.

..inawezekana operesheni anazozungumzia Sabaya zilikuwepo kweli, na yeye alishiriki, sasa vijana waliotumika namna hiyo huwa wanalindwa.

..ikiwa Sabaya atapatikana na hatia nadhani kuna watu ndani ya system ambao watampigania apate huruma ya msamaha wa Raisi.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,736
2,000
Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.

Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.

Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.

Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.

Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.

Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.

Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.

Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.

Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Marehemu hawezi kujitetea, wajitetee waliokuwa wasaidizi wake amabao wapo hai na wapo madarakani.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,727
2,000
Tumia akili kudigest info, Sabaya hajakiri kupiga au kufanya unyang'anyi wa siraha. Amekiri kuwepo Arusha kwa operation maalumu kudeal na wahujumu uchumi. Na anadai alitulwa na hayati JPM huku waziri wa fedha akiwa anafahamu. Sasa kwa nini Mpango asitoe ushahidi.
Sabaya hajamtaja Philipo Mpango na Luoga kama wanafahamu operation ya Arusha! Aliwataja kuthibitisha kama operation za namna ile ambazo anafanya nje ya eneo lake lakiutawala sio ya kwanza kwani aliifanya pia Dar eneo la Chanika huku watu tajwa hapo juu wakiwa wanafahamu kuwa Sabaya kuna kazi anaifanya Chanika.

Kwaiyo yamkini Operation ya Arusha Luoga assijue ila Luoga hawezi kushangaa kuwa kuna operation nyingine Sabaya anaifanya eneo la Arusha cos alishafanyanae Dar.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
13,470
2,000
Wewe ni Parody la Lumumba.
Sabaya hasafishiki.
Hivi we mwanasheria njaa unajua kuanalyze facts? Amekiri kuhusika na operation dhidi ya ujujumu uchumi ndio maana anadai alitumwa kwa kazi maalumu, hajakiri kushiriki ujambazi.

Kama mwanasheria ebu tupe ingredients za armed robbery alafu oanisha na tukio la Sabaya. Acha ushabiki
 
DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
672
1,000
Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.

Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.

Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.

Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.

Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.

Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.

Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.

Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.

Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Unaposema mamlaka yake ya uteuzi haipo una maanisha nini?

1. Sabaya aliteuliwa na Rais wa Selikari ya awamu ya tano ambayo iliingia madarakani kwa uchaguzi wa October 2020. Hakuna uchaguzi uliofanyika baada ya huo hivyo bado uteuzi wake ni halali.

2. Hata baada ya Rais Magufuli kufa uteuzi wa Sabaya haukutenguliwa na aliendelea kuwa mkuu wa wilaya na hawajawahi kufukuzwa/ kuachishwa kazi hivyo yuko sahii anaposema yeye bado ni mtumishi wa Selikari.

3. Rais aliyepo madarakani aliwahi kukiri hadharani kuwa yeye na mtangulizi wake ni kitu kimoja hivyo wanamuunganiko katika kila kitu ikiwemo na maamuzi yaliyowahi kufanyika huko nyuma.

4. Kikatiba Selikari Selikari ni taasisi na maamuzi yote hufanyika kwa mlengo wa Collective responsibility hivyo kwa mantiki hiyo kama Sabaya ana hatia maana yake Selikari yote inakuwa na hatia mpaka watakapo thibitisha pasipo shaka kwamba Sabaya hakutumwa na mamlaka ya uteuzi.

Nashauri DPP afute kesi ya Sabaya sababu ina public interest na inaweza kuhatarisha amani ya nchi na kuteteresha ofisi namba moja.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,634
2,000
Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.

Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.

Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.

Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.

Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.

Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.

Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.

Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.

Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Mr. Petro E. Mselewa hapa umeandika kama Mwanasheria kweli uliye huru.....

Asante sana, umeliweka jambo very clear kisheria. Hata hivyo mimi nina swali moja kwako...

Kwamba, suppose akaweza kuthibitisha maelezo yake kwa ushahidi utakaokubalika mahakamani....

Je, kuna sheria inayomlinda mtu baki kama Sabaya a mere District Commissioner asiye na kinga yoyote ya kisheria au kikatiba aliyetumwa na "mamlaka yake ya juu yenye kinga ya kisheria/kikatiba" kutenda uhalifu wa kijinai yeye mwenyewe personally...?
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,379
2,000
Tumia akili kudigest info, Sabaya hajakiri kupiga au kufanya unyang'anyi wa siraha. Amekiri kuwepo Arusha kwa operation maalumu kudeal na wahujumu uchumi. Na anadai alitulwa na hayati JPM huku waziri wa fedha akiwa anafahamu. Sasa kwa nini Mpango asitoe ushahidi.
Wewe ndiyo huna akili, Sabaya hawezi kutumia defence ya Magufuli bila ushahidi wa maandishi. Mpango kujuwa uwapo wa operesheni siyo ruksa kwa Sabaya kufanya jinai. Amekiri kuwapo kwenye duka lililotajwa na amekiri kumkuta mtu anayedaiwa kupigwa na kunyang'anywa fedha.

HACHOMOKI
 
Katavi yetu

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,129
2,000
Sabaya ameshajimaliza, kitendo chake cha kukiri kuwepo eneo la tukio hata kama anadai alitumwa na mamlaka husika kujinasua kwake itakuwa vigumu, je, alifuata sheria kuingia eneo la mwingine? alikuwa na kibali? kama hakuwa nacho hakuwa na tofauti na jambazi alietumia silaha kufanya uvamizi, hapa Sabaya ameshakiri kosa.
kwani kazi za kiintelijesia tena ukiwa umetumwa na mamlaka yako ya uteuzi tena taasisi ya urais zinahitaji kibali kutoka eneo linalopelelezwa? mwenye wajibu wa kutoa kibali si mh.rais mwenyewe? nani mwingine mwenye mamlaka ya kupinga agizo la mh.rais
 
Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
9,756
2,000
Mr. Petro E. Mselewa hapa umeandika kama Mwanasheria kweli uliye huru.....

Asante sana, umeliweka jambo very clear kisheria. Hata hivyo mimi nina swali moja kwako...

Kwamba, suppose akaweza kuthibitisha maelezo yake kwa ushahidi utakaokubalika mahakamani....

Je, kuna sheria inayomlinda mtu baki kama Sabaya a mere District Commissioner asiye na kinga yoyote ya kisheria au kikatiba aliyetumwa na "mamlaka yake ya juu yenye kinga ya kisheria/kikatiba" kutenda uhalifu wa kijinai yeye mwenyewe personally...?
Hakuna mkuu. Kikubwa ni yeye kuthibitisha aliagizwa na alitekeleza alivyoagizwa bila kutenda jinai
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,634
2,000
Hakuna mkuu. Kikubwa ni yeye kuthibitisha aliagizwa na alitekeleza alivyoagizwa bila kutenda jinai
Kama ndivyo ilivyo, wanasheria wake wanaomtetea wamefikiri nini hata kumwongoza mteja wao kujitetea katika namna hii..?

Je, ni kughafilika na kuona basi liwalo na liwe?

By the way, kuna hili pia;

Kwamba, inawezekana ni kweli alikuwa na agizo la kutenda "jukumu fulani maalumu" kama anavyodai, lakini ktk utekelezaji akatumia njia zake mbaya kutekeleza bila kujua kuwa hapo badae inaweza kugeuka kuwa jinai kwake...

Ni wazi kuwa huyu bwana hana akili wala maarifa ya uongozi...!!
 
mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,622
2,000
Hapa ndio utaona logic ya ndg Kibatala kuhusu kuistaki taasisi maana kwa kesi Kama ya sabaya hiyo taasisi itaweza kuingilia mahakama
Madai ya Sabaya naweza kuyafananisha na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu. Hivi wale waliompiga risasi TL wakifahamika na kufikishwa mahakamani, je wakijitetea kuwa walipata maagizo kutoka juu utetezi huo utawasaidia? Hapana hauwezi kuwasaidia.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,724
2,000

Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.

Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.

Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.

Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.

Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.

Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.

Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.

Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.

Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
 
JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,008
2,000
Thanks Mkuu, I was about to ask the same question
Urais sio mtu Urais ni Taasisi

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Do you think kuna mtu aliyeko kwenye taasisi ya urais atakubali kwenda kukubali kuwa NI KWELI TAASISI HIYO ILIMTUMA SABAYA AKAFANYE ALIYO YAFANYA TENA MENGINE MBELE YA KAMERA? AKITOKEA MTU WA AINA HIYO BASI MAANA YAKE THEY DO NO DESERVE TO BE THERE.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom