Utesaji aliofanyiwa Steve Biko na Jeshi la Polisi la Makaburu hadi kumuua ndio huo huo aliofanyiwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi Tanzania

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,128
18,733
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na kusafirishwa safari ndefu.

Sasa haya yaliyofanywa na Jeshi katili la Afrika Kusini hadi yakasababisha kifo cha Steve Biko, ndio hayo hayo yalifanywa na Jeshi letu la Polisi kwa Mdude Nyagali.

Dunia nzima ililaani ukatili uliofanywa na Polisi wa Afrika Kusini hadi kusababisha kifo cha Steve Biko. Dunia nzima inapaswa kulaani ukatili uliofanywa kwa Mdude Nyagali na wengine hapa Tanzania, na kushukuru sana kwamba Mdude Nyagali bado tunae akiwa hai.

Mama Samia, asilimia 70 ya maofisa wako wa Polisi wamepoteza credibility na legitimacy ya kuendelea kuwa katika Jeshi la Polisi kutokana na yale waliyotenda wakati wa utawala wa Magufuli. Kama kweli una nia ya kuleta amani na haki katika nchi hii, waondoe haraka sana

The security services took Biko to the Walmer police station in Port Elizabeth, where he was held naked in a cell with his legs in shackles. On 6 September, he was transferred from Walmer to room 619 of the security police headquarters in the Sanlam Building in central Port Elizabeth, where he was interrogated for 22 hours, handcuffed and in shackles, and chained to a grille. Exactly what happened has never been ascertained, but during the interrogation he was severely beaten by at least one of the ten security police officers.

On 11 September, police loaded him into the back of a Land Rover, naked and manacled, and drove him 740 miles (1,190 km) to the hospital. There, Biko died alone in a cell on 12 September 1977.
 
Naona Mnazeeka , ila Mnazeeka Vibaya..!
Ni nyie nyie CDM...!
Ukweli ni kwamba, na nausema kutoka moyoni, ninaposikiliza ukatili waliofanyiwa kina Mdude Nyagali, natamani nichukue silaha niwatafute na niwaue Polisi wote waliofanya ukatili huo, kama ambavyo enzi zangu nilifundishwa kuchukua silaha na kwenda kuwaua Makaburu wote waliokuwa wakiwafanyia ukatili na unyama wazalendo weusi wa Afrika Kusini, Namibia, nk

Kwa sasa ninatamani sana apatikane Mandela wa Tanzania na kunipoza moyo kutolipiza kisasi.
 
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na kusafirishwa safari ndefu.

Sasa haya yaliyofanywa na Jeshi katili la Afrika Kusini hadi yakasababisha kifo cha Steve Biko, ndio hayo hayo yalifanywa na Jeshi letu la Polisi kwa Mdude Nyagali.

Dunia nzima ililaani ukatili uliofanywa na Polisi wa Afrika Kusini hadi kusababisha kifo cha Steve Biko. Dunia nzima inapaswa kulaani ukatili uliofanywa kwa Mdude Nyagali na wengine hapa Tanzania, na kushukuru sana kwamba Mdude Nyagali bado tunae akiwa hai.

Mama Samia, asilimia 70 ya maofisa wako wa Polisi wamepoteza credibility na legitimacy ya kuendelea kuwa katika Jeshi la Polisi kutokana na yale waliyotenda wakati wa utawala wa Magufuli. Kama kweli una nia ya kuleta amani na haki katika nchi hii, waondoe haraka sana

The security services took Biko to the Walmer police station in Port Elizabeth, where he was held naked in a cell with his legs in shackles. On 6 September, he was transferred from Walmer to room 619 of the security police headquarters in the Sanlam Building in central Port Elizabeth, where he was interrogated for 22 hours, handcuffed and in shackles, and chained to a grille. Exactly what happened has never been ascertained, but during the interrogation he was severely beaten by at least one of the ten security police officers.

On 11 September, police loaded him into the back of a Land Rover, naked and manacled, and drove him 740 miles (1,190 km) to the hospital. There, Biko died alone in a cell on 12 September 1977.
Naunga mkono hoja.
 
Policcm ni dude katili mnoo
Niliwahi kusema humu ndani kwamba ile harufu mbaya sana kwenye vituo vya Polisi wanayoivuta kila siku ni mbaya kwa ubongo kuliko bangi, inawaharibu akili na kuwafanya kama wanyama. Natoa wito kwa wanasayansi wa Tanzania wafanye utafiti wa athali za harufu mbaya ya vituo vya polisi kwa mental state ya askari

Waulize watu wanaovuta bangi athari ya kuchanganya bangi na kinyesi kidogo kikavu cha mwanadamu - inakubangua hasa!
 
Dunia nzima ililaani ukatili uliofanywa na Polisi wa Afrika Kusini hadi kusababisha kifo cha Steve Biko. Dunia nzima inapaswa kulaani ukatili uliofanywa kwa Mdude Nyagali na wengine hapa Tanzania, na kushukuru sana kwamba Mdude Nyagali bado tunae akiwa hai.
Mungu ni mwema
 
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na kusafirishwa safari ndefu.

Sasa haya yaliyofanywa na Jeshi katili la Afrika Kusini hadi yakasababisha kifo cha Steve Biko, ndio hayo hayo yalifanywa na Jeshi letu la Polisi kwa Mdude Nyagali.

Dunia nzima ililaani ukatili uliofanywa na Polisi wa Afrika Kusini hadi kusababisha kifo cha Steve Biko. Dunia nzima inapaswa kulaani ukatili uliofanywa kwa Mdude Nyagali na wengine hapa Tanzania, na kushukuru sana kwamba Mdude Nyagali bado tunae akiwa hai.

Mama Samia, asilimia 70 ya maofisa wako wa Polisi wamepoteza credibility na legitimacy ya kuendelea kuwa katika Jeshi la Polisi kutokana na yale waliyotenda wakati wa utawala wa Magufuli. Kama kweli una nia ya kuleta amani na haki katika nchi hii, waondoe haraka sana

The security services took Biko to the Walmer police station in Port Elizabeth, where he was held naked in a cell with his legs in shackles. On 6 September, he was transferred from Walmer to room 619 of the security police headquarters in the Sanlam Building in central Port Elizabeth, where he was interrogated for 22 hours, handcuffed and in shackles, and chained to a grille. Exactly what happened has never been ascertained, but during the interrogation he was severely beaten by at least one of the ten security police officers.

On 11 September, police loaded him into the back of a Land Rover, naked and manacled, and drove him 740 miles (1,190 km) to the hospital. There, Biko died alone in a cell on 12 September 1977.
Mkuu 'synthesizer', unamlilia mtu asiyekuwa na uwezo wa kufanya hayo unayotaka ayafanye.

Huyu mama kwa wakati huu hana jambo lingine lolote nje ya upigaji na kuwawezesha majambazi kupora nchi yetu..

Haya ya polisi siyo mambo muhimu kwake kwa wakati huu.

Kazi muhimu iliyo mbele yake, kama unavyoona sasa hivi ni kuwapa uwezo zaidi hawa wezi, na kuhakikisha wanamsaidia kubaki madarakani kwa njia yoyote iwezekanayo.
 
Mkuu, nilichogundua ni kwamba ukimlilia sana anabadilika anaitikia!
 
Basi "utamlilia" sana, kwa maana wakati huu kabanwa na hii shughuli nyingine ya uporaji wa mali za waTanzania, sijui kama atakuwa na muda wa kushughulikia hayo mengine, kama hilo la polisi.
Kwanza hawezi kutifuana na polisi wakati huu, kwa sababu atawahitaji sana muda si mrefu tokea sasa. Labda umwombe tu, afanye mabadiliko ya Sirro, kaqma manukato ya hadaa. Mbinu hii anaiweza sana, kama ilivyokwishaonyesha na akina Mbowe.
 
Samia utawala wake utakuwa na miiba mingi sana, mambo aliyoachiwa na Bosi wake ni makubwa na mazito mnoo, anahitaji kuombewa sana! Nchi iliharibiwa vibaya mno kwa miaka 6 ya yule mtu. Inahitaji busara kubwa kuirudisha nchi kwenye mstari tena
 
Basi "utamlilia" sana, kwa maana wakati huu kabanwa na hii shughuli nyingine ya uporaji wa mali za waTanzania, sijui kama atakuwa na muda wa kushughulikia hayo mengine, kama hilo la polisi.
Kwanza hawezi kutifuana na polisi wakati huu, kwa sababu atawahitaji sana muda si mrefu tokea sasa. Labda umwombe tu, afanye mabadiliko ya Sirro, kaqma manukato ya hadaa. Mbinu hii anaiweza sana, kama ilivyokwishaonyesha na akina Mbowe.
Sawa Mkuu. Ukitaka ufaidi keki kubwa anza na kula kipande kidogo
 
Back
Top Bottom