Utengenezaji wa wine

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Asalaam Aleikhum waugwana!
Taeadhali naomba msaada mwenye recipe za kutengeneza wine.
Wabillah tawfiq
 
Hebu toa mfano ugependa kujua kutengeneza waini ipi au kutumia matunda gani??? Niko nazo kibao tu just ni pm
 
Hii ni kwa kutumia Nanasi

Mahitaji

1. Nanasi moja 2kg
2. Wine yeast 1table spoon
3. Sugar 2kg
4. Citric acid 1/2 teaspoon
5. Egg-white 1
6. Water safi(yaliyochemshwa) 6lts
7. Jerry-can 10 lts

Kutayalisha
Changanya kila kitu kilichopo hapo juu kweneye hilo jerrican na funika na hifadhi sehemu yenye giza na kila siku tikisa jerry can na kufunuua kiasi kuacha gasi itoke na kisha funga tena, baada ya siku 21 chuja na weka kwenye chupa na acha kwz muda wa siku chache na itakuwa tayari kwa kunywa
Nb
Kama ukiacha kwa muda wa miezi 3 itakuwa bora zaidi

Enjoy your quest into home made wine
 
Alcohol haiwezi fika mia kweli?
 
usiwe na hofu haiwezi fikia 100% maana the loner it stay the ezyme na wine-yeast zinaendelea kuisha nguvu, wine inakuwa bora bile kuongezeka kwa alcohol%

jaribu and then utupe mafanikio yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom