utengenezaji wa picha za kutembea(video)

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
wasalaam wana jamvi!!
tupo jijini mbeya tunajishughulisha na utengenezaji wa documentary,vipindi vya tv na redio,filamu,na kurekokodi matukio mbali mbali kama sherehe na vingne.

kwa wenye uhitaji tunapati tuna patikana kwa simu namba 0758502366
0625787345
au unaeza kuni pm
nawasilisha
 
Weka ''demo'' ya dokumentari itasaidia sana maana nimeona sehemu inaitwa Kitulo na Milima ya Livingstone inavutia sana halafu utupie video clip ya angalau dakika 5 humu JF kujenga CV.
 
Poa mkuu ntai upload soon
 
Back
Top Bottom