Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
- Thread starter
- #41
Pole sana mkuu lakini kwa tatizo la pumu mtoto akitumia nebuliser asubuhi kabla hajakwenda shuke na usiku kabla hajalala si rahisi kupata attacks. Si anazo zote mbili ya blue na brown?Iliwahi kunikuta Hospitali moja kubwa mkoa wa pwani ya serikali,nimempeleka mtoto wangu pumu imembana,ikafika zamu yangu kuingia akaingia jamaa inaonekana anafahamiana na yule daktari wa kike,basi walipiga story karibu nusu saa,nilipoingia ananiambia unauhakika kama ni pumu,tena huku anaperkuwa simu yake,nikamwambia sio mara yake ya kwanza kubanwa,akaniuliza anatumia dawa gani akibanwa,nikamwabia ni Nebulizer inhaler huwa ni very effective kwake,akasema unajua inabidi umpeleke kwenye hospitali anakotibiwa,nikipiga hesabu ni karibu km 15 mpaka hiyo hospitali,na kama unavyojua foleni za Dar,nikaishiwa nguvu mtoto nguvu zimesha ,ameshatapika mara kadhaa kanyon'gonyea,sikuwa na ujanja ikanibidi nichukue Taxi,ni hivyo tu siku yake ilikuwa bado Mungu akanisaidia nikafika salama na mtoto akapatiwa matibabu...
Turudi kwenye mada ni kuwa hakuna medical negligence claims, bill ikiwafikia watawajibika.