Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,315
8,214
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE

Kwako waziri wa elimu,
Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa.

Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi.

Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo kwa uharaka.

Kwanini wasiwaige NECTA mbona wanafanya kazi kwa weledi na uharaka wa hali ya juu.

Tafadhari Mh. Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline tayari zimeshakaribia.
 
Kwako waziri wa elimu,

Utendaji kazi wa NACTE haurizishi kabisa.

Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kutuma maombi ya vyuo vikuu hawapewi. Wanaambiwa wasubiri wakati tarehe za kuomba maombi ya vyuo vikuu zilishafika na kuna baadhi ya vyuo deadline zinakaribia kufika.

Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo kwa uharaka.

Kwanini wasiwaige NECTA mbona wanafanya kazi kwa weledi na uharaka wa hali ya juu.

Tafadhari Mh. Waziri tunaomba washughurikie
 
Biafsi naelekea kukata tamaa na application za chuo kikuu. Hiyo AVN sijui naipataje na deadline ni tar 5
 
Hakuna kitu kinaleta hasira kama kudaiwa avn namba wakati wa kufanya application, Mimi nililazimika kusafiri hadi drsm pale jirani na chuo cha kodi kufuatilia hiyo kitu.Simu zao hazipatikani na hakuna msaada.
 
Jamani hivi NACTE wanatatizo gani
 
Kwako waziri wa elimu,

Utendaji wa NACTE haulidhishi kabisa.

Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuappluly vyuo vikuu hawapewi.

Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe hivyo kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo kwa uharaka.

Kwanini wasiwaige NECTA mbona wanafanya kazi kwa weledi na uharaka wa hali ya juu.

Tafadhari Mh. Waziri tunaomba washughurikie
 
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE

Kwako waziri wa elimu,

Utendaji wa NACTE haurizishi kabisa.

Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kufanya maombi ya vyuo vikuu hawapewi kwa wakati matokeo yake deadline za kutuma maombi zinakua zimeshapita.

Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe hivyo kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo kwa uharaka.

Kwanini wasiwaige NECTA mbona wanafanya kazi kwa weledi na uharaka wa hali ya juu.

Tafadhari Mh. Waziri tunaomba washughurikie
 
Hakuna kitu kinaleta hasira kama kudaiwa avn namba wakati wa kufanya application, Mimi nililazimika kusafiri hadi drsm pale jirani na chuo cha kodi kufuatilia hiyo kitu.Simu zao hazipatikani na hakuna msaada.
Mimi nimeandika email mara 2 hazijajibiwa kabisa
 
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE

Kwako waziri wa elimu,
Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa.

Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi.

Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine wanaoweza kufanya kazi hiyo kwa uharaka.

Kwanini wasiwaige NECTA mbona wanafanya kazi kwa weledi na uharaka wa hali ya juu.

Tafadhari Mh. Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline tayari zimeshakaribia.
serikali ni kama ndimu usipoipiga haitoi maji
 
Back
Top Bottom