Utendaji wa Magufuli uwe funzo kwa viongozi wa Africa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Kitendo cha Magufuli kutubutu kuanzisha miradi mikubwa ya maendeleo bila kusubiri pesa za wafadhili, iwe ni funzo kwa viongozi wa Afrika wanaotegemea kukopa toka kwa wafadhili ili kutekeleza miradi midogo sana ukilinganisha na uchumi wa nchi husika.

Nilipata mshituko kusikia kwamba nchi kama Morocco yenye uchumi mkubwa, lakini ilijenga reli ya SGR yenye urefu wa 300km kwa gharama ya $2.6B kwa mkopo wenye riba kubwa na kuzidisha mzigo wa madeni kwa wananchi.

Hivi hii tabia ya kupenda kukopa hata pale ambapo sio lazima kukopa itaisha lini Africa?, tabia hii ndio inalolifanya bara la Africa kuwa tegemezi, omba omba na mzigo ktk uchumi wa dunia. Hongera Magufuli kwa kuonyesha njia. YES AFRICA WE CAN.
 
Nikiangalia miradi inayo fanyika nime gundua ata hii reli angeamua ishe yote ndani ya miaka mitano kwa pesa za ndani ingewezekana.
 
CJyGlZfW8AADNHS.jpg

Pongezi zangu ziende kwa Raisi Magufuli kwa jinsi alivyobugia mizizi iliyojaa matope bila hata ya kukunja Sura
Kongole mkuu inaonekana hilo tumbo lina kutu za kila aina
 
Back
Top Bottom