Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau,
Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Magufuli. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.
Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.