othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,652
- 9,031
Ipo mifano hai ya HC au CAT ku challenge maamuzi ya Rais na inachangiwa na nafasi yao na sijawahi ona CMA, suala la individual performance ya majaj wasiokubali kuzongwa na ukada pia ni nafuu kwa majaji kuliko arbitrator and meditatorCMA kuwa inferior kwa maamuzi ya Rais kwenye masuala ya kazi ni assumption tu mkuu, labda inahold water kwa kuwa tupo katika nchi isiyoheshimu utawala wa sheria. Na ikiwa dhana ya seniority ni hiyo, basi hata CAT bado hawawezi kuwa superior kwa maamuzi ya Rais kama vile ambavyo umesema Majaji wa HC wanaweza kuzongwa na ukada. Hakuna anayeweza kuwa juu ya Rais. Kwa lugha rahisi, hapa tutakuwa tunazungumzia uwezo wa watu binafsi (personal) na sio uwezo wa taasisi uliowekwa kisheria. Kisheria, mfano Baraza la Kata (japo ndio ngazi ya chini kabisa kimahakama) kama lingekuwa limepewa uwezo kisheria wa kubariki au kubatilisha maamuzi ya Kamishna au Rais kwenye masuala ya kurevoke haki za ardhi, lingefanya jambo hilo kwa uhuru tu sababu ni mamlaka liliyonayo kisheria, na nchi inaendeshwa kisheria.
Lkn all in all bado sioni nafasi ya mediator and arbitrator Ku challenge uamuzi wa Rais hata kama ni uamuzi wa masula ya kinidhamu and not administratively