Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mo-TOWN, Jun 1, 2011.

 1. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wana JF naomba tuangalie kwa undani changamoto za kiutendaji za jeshi la polisi zinatokana na nini hasa.

  Tumeshuhudia incidents nyingi zinazolihusu jeshi la polisi kutumia nguvu kupambana na waandamanaji iwe ni vyama vya upinzani au ya wananchi kuelezea/kudai haki zao mfano Nyamongo.

  Ninachojiuliza ni kweli jeshi hili by design liliundwa kutumikia wananchi au watawala? I have the feeling ni other way round

  Nimefuatilia na kuona jeshi hili liko mstali wa mbele kusafe interest za watawala at any cost (tumeona investment zilizofanyika just before election) juzi juzi kuna swala limekuwa likijitokeza kati ya wananchi na wawekezaji huko Manyara. Swala hili hata pamoja na mbunge kupeleka kilio chake bungeni hakuna muafaka uliopatikana (ikumbukwe kuwa ugomvi huu una zaidi miaka 20).

  Mimi nilidhani kama kweli jeshi hili liko badala ya wananchi (kulinda raia na mali zao) na wao kama interface basi wangekuwa wa-relay info kwa watawala kuwa shida zinazotokea zinasababishwa na mambo xyz kwa mfano. Kama ingekuwa hivyo kusingekuwa repeat ya hizo incidence za kuchoma moto mali na mauaji.

  Naamini kuwa tunapashwa ku-address root cause za problems na sio symptoms. I am afraid jeshi letu lina-address symptoms kwa makusudi na si kwa kukosa weledi ili kutetea nafasi za watawala. SHAME!
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  Am waiting for the answer...one of my relatives is about to join the force...looking forward for constructive thoughts!
   
 3. N

  Nanu JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  let him join. labda atakuwa chachu ya kubadilisha!
   
Loading...