Utendaji kazi H/M Rorya

moghasa

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,084
1,253
Asalaamu GTs!

Wadau naomba nawatakie heri ya pasaka!

Naomba nijitanabaishe kuwa mimi ni mwananchi wa wilaya ya Rorya mkoani Mara,
nimekaa muda kidogo sijafika wiraya yangu!!

Wilaya hii ni moja ya wilaya zenye maji mengi yawezekana kuliko zote mkoa wa mara imezungukwa na maji zaidi ya robo3 ya eneo lake,

licha ya maji hayo mwanzoni mwa miaka ya 80 sarikali ilijenga mrad mkubwa wa maji kijiji cha kyamwame wenye uwezo wa kusambaza maji zaidi ya nusu ya wilaya!

mradi huu umeshindwa kujiendesha kwa sababu ya mafisadi wachache

viongoz wanachowaza ni kuchimbia wananchi mabwawa badala wafufue mashine na kulipa deni la umeme TANESCO!

Kwa hali hiyo naona wilaya hii haina weledi na inashindwa kubuni vyanzo vya mapato! badala yake inajiendesha kwa kutegemea kufukuzana na wavuvi wadogowadogo watoe ushuru na faini kadha wa kadha!

cc. wanarorya wote
 
Huko Rorya kuna tatizo si ndio ipo ile sekondari ya wazazi iliyopigwa mnada kwa sababu ya deni la vitabu,sasa kama walishindwa kutambua umuhimu wa elimu watatambua umuhimu wa maji? na ikumbukwe kuwa ile shule ya sekondari Isango ilijengwa kwa michango ya wananchi.
 
mkuu Mkendo shule ya sekondari Isango ilijengwa na wamissionary, kipindi cha ubibafsishaji iliingizwa serikalini, baadae ikawa chini ya jumuiya ya wazazi ( ccm)

Hao ndo wakaifanya kuwa janga wakashindwa kuiendesha, hadi kupigwa mnada .

Rorya kuna majipu kibao!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom