"utendaji kata na degree"... "udiwani na no education"!

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
225
Sheria ya Utumishi inatoa sharti la WEO kuwa na elimu ya digrii, wanafanya kazi na madiwani ambao wengine hata shule hawana! Wakorofi na wanaumwinyi kupindukia! katika wilaya ninayofanyia kazi kunatokea migogoro isiyo kuwa na maana inayoletwa na baadhi ya madiwani wa hulka za umwinyi kwa WEOS na jambo la kushangaza WEO unalazimishwa kuandika kuhama kituo kwa tuhumu zisizo thibitishwa bila malipo na kwa kudharauliwa na watendaji wa Halmashauri.. Ndg Yambeshi vijana tunafanya kazi lakini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom