Utekelezaji wa mipango yao Watanzania wengi ni pasua kichwa

blackstone

Senior Member
Aug 11, 2015
147
128
Wakuu,

Habari za mapumziko ya boxing day, tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2016 naanza na tafakari kumekuwa na utaratibu wa tathmini ya mwaka kwa makampuni mbalimbali duniani kuhusu mipango ya mwaka mpya na nini kampuni imefanikiwa katika mwaka uliopita hali kadharika kwa baadhi ya mtu mmoja mmoja.

Tathmini hii imekuwa ngumu sana kwa baadhi ya watu kwani wamekuwa wanapanga mipango ya mwaka mzima ila ikifika katikati ya mwaka hupotea na kushindwa kujua wanaenda wapi.
Baada ya utafiti kidogo nilichofanya nimegundua kuwa Watanzania hatuna utaratibu wa kujipanga na hata tukijipanga hatutekelezi tuliopanga(tatizo la vizazi na vizazi).

Hata hivyo kuna baadhi ya watu wamefanikiwa katika upangaji na utekelezaji wa mipango yao iwe ya siku,mwezi na hata mwaka.

Tafiti nyingi zinasema moja ya mbinu wanayotumia ni kuandika karatasi yenye malengo ya mwaka mzima na kuibandika sehemu ambayo ni rahisi kuiona kila siku yaweza kuwa mezani;kitandani nk.

Njia nyingine ni kuishi kiutekelezaji zaidi na si kimipango mipango(kuishi ndani ya ulichopanga na si kusubiri ukipata ndani ya siku moja)mfano unataka kuwa mjasiriamali mkubwa basi kushiriki semina mbalimbali za ujasiriamali,kutatuta mentor nk.
3.
4.
5.
Ongezea njia zingine tatu mkuu zinazokufanya ufanikiwe katika mipango yako ya mwaka.
 
Wakuu
Habari za mapumziko ya boxing day, tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2016 naanza na tafakari kumekuwa na utaratibu wa tathmini ya mwaka kwa makampuni mbalimbali duniani kuhusu mipango ya mwaka mpya na nini kampuni imefanikiwa katika mwaka uliopita hali kadharika kwa baadhi ya mtu mmoja mmoja.
Tathmini hii imekuwa ngumu sana kwa baadhi ya watu kwani wamekuwa wanapanga mipango ya mwaka mzima ila ikifika katikati ya mwaka hupotea na kushindwa kujua wanaenda wapi.
Baada ya utafiti kidogo nilichofanya nimegundua kuwa Watanzania hatuna utaratibu wa kujipanga na hata tukijipanga hatutekelezi tuliopanga(tatizo la vizazi na vizazi).
Hata hivyo kuna baadhi ya watu wamefanikiwa katika upangaji na utekelezaji wa mipango yao iwe ya siku,mwezi na hata mwaka..
Tafiti nyingi zinasema moja
ya mbinu wanayotumia ni kuandika karatasi yenye malengo ya mwaka mzima na kuibandika sehemu ambayo ni rahisi kuiona kila siku yaweza kuwa mezani;kitandani nk...
Njia nyingine ni kuishi kiutekelezaji zaidi na si kimipango mipango(kuishi ndani ya ulichopanga na si kusubiri ukipata ndani ya siku moja)mfano unataka kuwa mjasiriamali mkubwa basi kushiriki semina mbalimbali za ujasiriamali,kutatuta mentor nk....
3.
4.
5.
Ongezea njia zingine tatu mkuu zinazokufanya ufanikiwe katika mipango yako ya mwaka...
Ni kweli kabisa, nisoma mahali katika andiko 'Tanzania Development vision 2025' watanzania wataalam wabobezi wabainisha kuwa tuna sifa ya kuandaa mipango tena wakati mwingine mizuri hasa lakini kutekeleza inakuwa ni tatizo. Sasa hii ikianzia chini katika kaya si ndiyo inaenda hadi juu mwisho? Ni shidaah! Sijui tufanyeje?
 
Back
Top Bottom