Utekelezaji wa maagizo ya Mh. Waziri Mkuu kuhusu kampeni za kistaalabu.

Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
2,017
2,208
Ndugu wapendwa nawasalimu kwa majina makuu.
Waziri Mkuu ametoa maelekezo kuwa tufanye kampeni za kistaalabu zisizo beza, kashfu au tukana mtu au vitu vilivyofanywa na seriali.

Naomba wenye clip, au matamko yakistaalabu yaliyotolewa na wana CCM dhidi ya wapinzani ili tuone mfano wa yanayotakiwa. Lakini pia mwenye clip au matamko yasiyo ya kistaalabu yaliyotolewa wazalendo wa CCM dhidi ya wapinzani ambayo hayatakiwi kwenye kampeni ili tujifunze ili kuepuka Mkono wa sheria.
 
Back
Top Bottom