Utekelezaji wa kutangaza mali za viongozi wa umma

P.I.G karibu na karibuni sana . Semeni tuikoe Tanzania angalau kwa kuweka uchafu wazi .
 
Hii kampuni inaitwaje ? Tafadhali nifungue masikio niweze kutajua haya maana duh kazi kubwa hii .


Huenda P.I.G ana data zaidi... Angeandika kiingereza ingekuwa rahisi kwake nadhani.

TEKA...? Sina hakika na jina hilo ila wewe nimekupa hint tu.

Pia mzee huyu contract ya kukusanya ushuru UBT na ulinzi wa eneo hilo nasikia ni yake. Mukubwa!

Hebu Mzeeshughuli nawe taja mali zako mbona kimya???!
 
P.I.G.

Karibu sana mzee, hapa tunajenga nchi, tena kwa hilo tunaomba TRA walifuatilie hili kupitia benki ya standard kujua kama kweli huyu jamaa na miradi yake wamelipa kodi kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hawa wezi na vibaka tena hawaoni aibu wanatumia serikali yenyewe kuiibia wafuate mifano ya nchi za wenzetu.
 
Mali zangu ni watoto 3, nyumba ya kupanfa sina yangu. Vitabu kibao .bank nina pesa kidogo kama €1400 ila nina wake 3, viatu pair chache suti 3 na nguo za kawaida , jeans ni nyingi zaidi .

Asanteni
 
Mali zangu ni watoto 3, nyumba ya kupanfa sina yangu. Vitabu kibao .bank nina pesa kidogo kama €1400 ila nina wake 3, viatu pair chache suti 3 na nguo za kawaida , jeans ni nyingi zaidi .

Asanteni


mzeeshughulibwana,
naona unataka kutupotezea malengo.
hatuhitaji kujua mali zako unless uteleze kuwa wewe ni kiongozi wa serikali,
ushauri mzuli, delete hiyo message, acha watu walete hizi information, ni muhimu kwa records.
 
Hapo juu niliombwa nitaje mali zangu kabla sijaendelea kuhoji na ndiyo maana nataja ili kutoa nafasi ya kuendelea. Soma juu kabisa utaona kwa maandishi madogo mekundu naambiwa nitaje mali zangu .
 
Wale ambao hawako kama Hasara waanze kuweka vitu hapa.
 
Aliye na picha za nyumba za BWM aziweke hapa kule Tanga na SA na miradi ya Richmondulian kule Arusha etc.
 
Sumaye alishadatishwa na jimama moja linaitwa Temina!
Linakaa Boston huko!
JImama linamuweka Sumaye kwenye speaker phone huku rafiki zake wanasikia Mzee anavyosifia jinsi demu anavyokatika wakati anamtafuna makalioni!
Huu sio uzushi!
Wenye access na Boston watafute nyeti hizi za huyu shangingi na Sumaye na habari zao za Sodoma na Gomora!
 
Sumaye alishadatishwa na jimama moja linaitwa Temina!
Linakaa Boston huko!
JImama linamuweka Sumaye kwenye speaker phone huku rafiki zake wanasikia Mzee anavyosifia jinsi demu anavyokatika wakati anamtafuna makalioni!
Huu sio uzushi!
Wenye access na Boston watafute nyeti hizi za huyu shangingi na Sumaye na habari zao za Sodoma na Gomora!


Mhhh haya..
 
Sumaye alishadatishwa na jimama moja linaitwa Temina!
Linakaa Boston huko!
JImama linamuweka Sumaye kwenye speaker phone huku rafiki zake wanasikia Mzee anavyosifia jinsi demu anavyokatika wakati anamtafuna makalioni!
Huu sio uzushi!
Wenye access na Boston watafute nyeti hizi za huyu shangingi na Sumaye na habari zao za Sodoma na Gomora!

Jamani jamani jamani, basi huyu Sumaye atakuwa mwenda wazimu kweli; yaani mambo anayoyafaida kwa huyo Temina hadi awasilmulie marafiki zake? Hao ni marafiki wa aina gani wanaozungumzia matako ya mademu kwa umri ule wa Sumaye. Yaani Sumaye amegeuka kuwa adolescent? Mambo mengine jamani tusiyalete humu, yanatushushia credibility yetu na integrity ya forum bure!!!
 
Yeah I second you Mwanasiasa . This is more than too much . Where is our credibilty today ? Our Intrgrity ? Tukate issue mambo ya mitaani sana tuyaacha . Sumaye kula nyama ya nyani ni raha zake mwacheni ale ili mradi hana mkono kwenye wizi na dhuluma ya sasa inayo tokea chini ya CCM na JK .Ila tukiwa na issues za nyuma ambazo anakuwa implicated then we will get his name back to the forum for a discussion .
 
sasa gamaniel ..sasa kama zero ameamua kula raha kwa kutafuna ..jicho aka ndogo aka kipira aka jiko la mkaa...haituhusu!!! wanaume hatuwezi kujadili mambo ya chumbani ya wenzetu...kama unataka nawewe nenda..au kama wewe hutafuni uwe wa kwanza kumlaaani!!! !!

tukate ishu ,,,je ana kesi ya kujibu????
 
sasa gamaniel ..sasa kama zero ameamua kula raha kwa kutafuna ..jicho aka ndogo aka kipira aka jiko la mkaa...haituhusu!!! wanaume hatuwezi kujadili mambo ya chumbani ya wenzetu...kama unataka nawewe nenda..au kama wewe hutafuni uwe wa kwanza kumlaaani!!! !!

tukate ishu ,,,je ana kesi ya kujibu????


Mzee Mikael

hiyo sentensi ya kwanza inaelezea mengi...kuhusu kesi Yes...kwa Mkewe Mama Sumaye...!!! Sio humu bodini
 
Mali za viongozi sio political news tena toka Azimio La Arusha lilipovunjwa kule ZNZB, wakati ule Mwalimu akiwa hai chini ya uongozi ya Mzeee Mwinyi, aliyetuwekea yeye Mwalimu, muasisi wa TANU/CCM.

Leo sio siri tena kiongozi kuwa na share kwenye makampuni, sasa what goood ya kutangaza mali za viongozi hadharani wakati kisheria wanaruhusiwa kuwa nazo mali hizo? Labda wakishazisema tuwaulize wamezipataje huku tukiwa na ushahidi at hand kuwa ni waizi, ama sivyo ni another political miss step ya kuwapa CCM platform ya kujiosha kwa ummma na kujiongezea credibility!

One must be careful kabla ya kudai issues ambazo sio issues of our time!
 
Kama hali ndiyo hivyo ilivyo sasa kwa nini serikali ina ma form bado ya kuomba watu watangaze mali zao na madeni ? Je wanajifurahisha ? Kama ni kinyume na sheria mbona kuna vifungu vinawabana kama watakaidi ?
 
i please request to differ with many here...mnajua hivi vipengele vya kutangaza mali ni unafiki mkubwa ,vimesababisha viongozi wetu kuwa wala rushwa zaidi tena bila ya manufaa kwa nchi yetu ...inabidi ntufanye hivi ..vipengele viendelee kuwepo ,lakini isiwe sababu ya kumnyooshea kidole kiongozi kwa sababu tu ana mali ...kama ana vianzio vinavyoeleweka its okay...

nataka niwaambie kuwa mabeki ya swiss yametumia usiri wa viongozi wetu kuwashawishi waweke kule hizi pesa wanazotuibia ..sasa kinachotokea ni kuwa kiongozi akifa zile pesa zinabaki kwao na hakuna anayeweza kuzidai...look this MOBUTU and SANI ABACHA had BILLIONS OF BILLIONS of dollars in offshore banks ,lakini wamekufa na nchi zao wala familia zao hawajaweza kuzipata hizo pesa ,pesa zilizoweza kurudishwa hazifiki dollar BILLION MOJA...

nataka miwape mfano mwingine wa RAIS MSTAAFU MOI...huyu ana mawazo tofauti hata alipokuja kuaga bunge hapa alisema" ..if there was anything i get during my presidency i have invested it in kenya[east africa ],moi anayo makampuni yapata 50 tena ya maana,yanayosimamiwa na JOSHUA KULEI msaidizi wake mahsusi pamoja na wanawe ...yameajiri maelfu ya wakenya na yametapakaa afrika mashariki..hakuwekeza ulaya...analipa kodi ,,,na faida anayopata hujenga mashule na kusaidia dini yake ets hatukatai hiyo ilikuwa pesa ya mlungula lakini taratibu wakenya wanairudisha kupitia kodi na huduma ..mashamba yake ya chai yanachangia kiasi kukubwa mauzo ya nje...

hii ni tofauti na wanafiki viongozi waliokuwapo wakati wa mwalimu...kina MSUYA wamejenga na kuweka mapesa italy ,uk ,japan,canada ets zinamnufaisha nani????? ndio maana nataka tuache huu ushamba wa kusema ,oooh sumaye ana shamba la heka 300.,oh jk ana hoteli bagamoyo,,,oh lowasa ana majumba,,,oh mkapa analima miwa na mahoteli ,ohoo mramba ana hisa pression...sooo what!!! mlitaka wawekeze nje ...tena kwa kifupi viongozi wangatakiwa wawe na angalau heka 1,000 zinazolimwa kila mmoja na wala wasingemaliza ardhi ...ni uzembe wa hali ya juu kuwa na viongozi dizaini ya chediel mgonja au kiula ambao walipokea rushwa na kuzitawanya na mabibi na leo hii wanapanda daladala ,choka mbaya au mnauye ambaye alipata pesa nzuri tu lakini hadi anakufa hata nyumba hana ya kufanyia msiba...
 
Back
Top Bottom