Utekaji na wizi wa gari la pesa la kampuni ya G4S nchini Botswana; Je, huyu ni Mtanzania?

Yaani jambazi kanyang"anya polisi bunduki badala ya kumalizana nao kibingwa, eti wanawakamata! Polisi wa huko Botswana bure kabisa
 
Hawa G4S tz wanawalipa pesa ndogo sana walinzi wao. Nashangaa unawezaje kumlipa ela ndogo kiasi hicho mtu anayesafirisha mamilion ya pesa
Mkunga anayemleta binadamu duniani analipwa kidogo sana ukilinganisha na kazi yake ya kuwasaidia wazazi.
Nadhani hawaangalii unyeti wa kazi
 
Hakuna mtanzania hapo

Screenshot_2021-10-16-06-18-20.png
 
Tukio Botswana mshahara Tanzania! JF of Great Thinkers?

MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA LA EMBE.
Dereva wa Botswana anahusika vipi na mshahara wa Tanzania!
Nimechomekea, kuna tatizo kwani? Na kilichotokea Botswana kishatokea kwenye G4S TZ zaidi ya mara 5
 
Nimekuelewa mkuu ila wezetu huku hutawakuta wanatangaza kitu kisicho chao hata bar huwezi kuta wimbo wa Ali Kiba. Nimekusoma mkuu sorry kama nitakuwa nimekukwaza
Huku south Africa nyimbo za kina diamond.lady jd harmonize zinapigwa at tu .kuanzia bar mpaka kwenye masharehe
 
Hiyo ni sura ya watu wa huko huko Botswana au Afrika Kusini...

Usihadaike na kilichoandikwa kwenye T-Shirt yake ilihali wajua kuwa Kilkmqnjaro si kielelezo cha Tanzania pekee bali Afrika kwa ujumla...
 
Back
Top Bottom