Utayaona mafia tu'

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Ni wilaya iliopo ktk mkoa wa Pwani Tz.
1.Usafiri ni majahazi roho mkoni.
2.Wilaya mzima yenye wakazi wapatao 50,000/ kuna kituo kimoja tu cha polisi.
3.Hakuna sekondari ya A-level
4.Wasomi wazawa waliofikia level ya kuitwa Dk hawazidi 6 include Dk Ramadhan Dau yule wa Nssf.
WADAU wenye marafiki zenu mawaziri tukumbukeni nasisi jamani.
 
Tunawapenda sana swahiba ila kale katabia kapya mlokianzisha mnajiharibia! Demu akikuzingua tu unampa shaba ya Utosi
Sijui jini Kisasi kashawavuruga?
 
eneo lote la mafia lina ukubwa gani!?
kuna umeme huko!?
heka moja shilingi ngapi!?
miundombinu ipoje!?
 
ushirikina wa kiswahili, yani mambo ya uchawi uchawi, majini, n.k hali ipo vipi!?
maana maeneo mengine wenyeji hawataki wageni!
 
Ni wilaya iliopo ktk mkoa wa Pwani Tz.
1.Usafiri ni majahazi roho mkoni.
2.Wilaya mzima yenye wakazi wapatao 50,000/ kuna kituo kimoja tu cha polisi.
3.Hakuna sekondari ya A-level
4.Wasomi wazawa waliofikia level ya kuitwa Dk hawazidi 6 include Dk Ramadhan Dau yule wa Nssf.
WADAU wenye marafiki zenu mawaziri tukumbukeni nasisi jamani.

Mtakumbukwa kwa lipi hasa?
 
acha muendelee kuoza. Dau kapewa shirika kubwa anatajirisha wahindi. kumbe kwao hata high school moja hakuna. mnaendekeza mabibi na ndoa za wake wengi. kwani k ni kitu kigeni sana kwenu. khubavuhh
 
acha muendelee kuoza. Dau kapewa shirika kubwa anatajirisha wahindi. kumbe kwao hata high school moja hakuna. mnaendekeza mabibi na ndoa za wake wengi. kwani k ni kitu kigeni sana kwenu. khubavuhh
Kwani shirika lake? Au unataka afanye kama kina Pesa kule Rombo! Halafu muje kumshtaki kwa matumizi mabaya ya fedha za umma? Hata hivyo Dk Dau amejitahidi sana kusaidia Mafia hasa ktk ujenzi wa sekondari kijiji cha Bweni akaleta na walimu wakutosha.
 
Back
Top Bottom