utawezaje kuvukisha vitu hivi kwa usalama?

Scratch

Member
May 2, 2011
11
1
Kuna Mbuzi, simba, majani na mtumishi. mtumishi amepewa kazi ya kusafirisha mbuzi, simba na majani kuelekea sehemu ambaye bosi wake amemwamuru kutokana na ukame na ukosefu wa chakula sehemu ambayo wanaishi. kufika njiani mtumishi amekutana na mto mkubwa sana na inabidi avuke kutumia boti ambalo lina uwezo wa kubeba kilo mia mbili tu, akizidisha hata robo kilo boti litazama. mtumishi ana uzito wa kilo mia, mbuzi kilo mia, simba kilo mia na majani yana uzito wa kilo mia. Mtumishi anatakiwa ahakikishe simba hamli mbuzi, na mbuzi asile majani kwani vyote vinatakiwa vifike sehemu iliyoamuriwa na hapo walipo hakuna mtu wa kusaidia. je mtumishi atafanya njia gani kuhakikisha anavukisha vitu vyote salama ?
 
avuke na mbuzi akifika upande wa pili amuache mbuzi thena arudi achukue majani akifika upande wa pili aache majani arudi na mbuzi, the amchukue simba amvushe ili safari yake ya mwisho akamchukue mbuzi!
Hujasema anaruhusiwa kufanya trip ngapi so nimetumia trip km 4 hivi.
 
nasikia kuna kipindi simba akizidiwa hula majani hiyo case ya ukame nahisi ukimwacha na majani pia atayagonga
 
no limitation in number of trips, all matter is the safety and making sure not losing any of them
 
kaa,mbuzi kilo 100?,kama simba anaweza kumgonga mbuzi hata mtumishi ataliwa kwa hiyo hakuna safari hapo,it is too unrealistic
 
Haya,hii ni realistic. Kamanda wa jeshi alikuwa na kikosi cha watu wawili.kamanda anataka kuvuka mto kwenda ng'ambo na askari wake wawili.kando ya mto kuna watoto wawili wakiwa na boti yao.Hiyo boti ina uwezo wa kubeba watoto wawili au mjeshi mmoja tu kwa wakati mmoja.Mpe maujanja kamanda jinsi ya kuvuka yeye pamoja na wenzie wawili.
 
1. vusha mtoto no. 1 acha no. 2, atakaevuka atatumika kupeleka ngalawa upande wa pili.
2. mjeshi no. 1 atarudi na ngalawa, mtoto no. 2 atauchukua na kwenda kumfuata mtoto no. 1 upande mwengine.
3. mtoto no. 1 atarudisha ngalawa upande mwengine na mjeshi no. 2 atavuka nao upande mwengine, kisha mtoto no 2 atarudi nao upande mwengine na kumbeba mtoto no 1.
4. mtoto no 1 atarud upande mwengine na kumpa mjeshi no. 3 arudi na ngalawa, kisha mtoto no 2 atamfuata mwenzie na kumaliza shughuli ya kuvushana

Maswali haya tulikuwa tukiuliza kama chemsha bongo miaka ile ya primary skuli, watoto wa asiku hizi sidhani kama wasoma kweli, naona kama mchezo mwingi.
 
njia yako nzuri ila sijaelewa pale sehemu ya(i),umesema vusha mtoto mmoja kwenda ng'ambo,huyu mtoto alivushwa na nani?
 
je watoto wana uwezo wa kuoperate the boat, if that the case, then it can be done easy. watoto wawili waende, mtoto mmoja arudi na boti na mwingine abaki upande wa pili, then mjeshi avuke, mtoto wa upande wa pili arudi na boti, then both two kids go again n repeate the previously process til kila mmoja avuke na watoto wabaki na boti lao.
 
yes,wanaweza ku operate boat na jibu lako ni sahihi 100%
 
Back
Top Bottom