Utawala wa sheria uko wapi Tanzania?


S

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,666
Likes
294
Points
180
S

sawa

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,666 294 180
mara nyingi sana viongozi wetu huwa wanasikika wakisisitiza katika hotuba zao nyingi kuwa wananchi tueshimu utawala wa sheri na misingi ya haki za binadamu,ila hilo ni tofauti katika nchi yetu hususani katika hii oparesheni kimunga na oparesheni tokomeza majangili maana kuna maswali ambayo inabidi tujiulize

1,hivi ni lini itawagusa vigogo wa nchi hii
2,waliokuwa wanaongoza oparesheni walikuwa wapi wakati wanawake na wakina mama wanabakwa
3,kwanini tunawaita wafugaji haramu
4,hivi ni kweli taifa letu lenye ukubwa wa mita za mraba 937437 zimetushindwa kuzigawa
5,kama leo hii hali ni mbaya hivi itakuwaje miaka 50 ijayo
6,mbona kesi za ujangili kumbuka wachina kukamatwa na shehena ya meno ya tembo dar na zanzibar atupewi muendelezo
7,kama tatizo ni mfumo kwanini tusishughulike na mfumo
8,kama kikosi cha mali asili cha kupambana na ujangili kimeshindwa kwanini tuendelee kuwa nacho
9,ni halali kwa nchi iliyo na amani na utulivu kupeleka wanajeshi wa JWTZ kupambana na majangili
10,suluhisho ni nini


wanajamvi tujadili haya tukiongozwa na uzalendo na nini cha kufanya
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
18,678
Likes
8,749
Points
280
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
18,678 8,749 280
hii operesheni kimbunga ali i initiate nani? Kagasheki, Waziri Mkuu au RAIS. ?
nisaidieni jibu.
 
S

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,666
Likes
294
Points
180
S

sawa

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,666 294 180
oparesheni kimbunga ni rais tena ilianzia Bukoba,alikuwa kwenye maadhimisho ya siku ya mashujaa,ila hii oparesheni tokomeza sina uwakika ila kwakuwa
 

Forum statistics

Threads 1,235,758
Members 474,742
Posts 29,234,325