Utawala wa sheria chini ya chadema ni ndoto!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala wa sheria chini ya chadema ni ndoto!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kadogoo, Oct 27, 2010.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
 2. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sijawahi kuona chama fisadi kama hiki!!! yaani kumbe kelele zote hizi na wao pia ni mafisadi!!! sasa kupeana uongozi kiundugu hivyo kweli tutafika? kumbe ndio maana CHADEMA waliamua kuficha kutangaza majina ya wabunge wao wa kuteuliwa sababu kuna watoto na vimada wa vigogo!!!
   
 3. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,716
  Likes Received: 3,125
  Trophy Points: 280
  Mseme msemavyo ninyi watoto vimada wa vigogo mwaka huu mpaka kieleweke. Bora ya Chadema kuliko chama cha majambazi. Mbona mnalialia mmeshakula vya kutosha waachieni na wengine wafaidi mali si yetu wote kwani ya kwenu peke yenu?? CCM wamefanya nini kizuri kama si kuwanyang'anya mali watanzania na kujilimbikizia wao na watu kama ninyi. Mpaka kieleweke acheni kutudanganya bana.
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Poleni sana kwa juhudi mfanyavyo kujinusuru dakika hizi za mwisho lakini naona kuwa mnapoteza nguvu zenu bure. Hakuna kitu kitakachozungumzwa sasa hivi dhidi ya Chadema ambacho kitazuia tufani ambayo imeanza dhidi ya ccm. Zaidi ya hapo, maovu ambayo ccm imewafanyia Watanzania katika miaka hii mitano ya raisi Kikwete ni makubwa mno na wananchi tayari wameelewa kuwa hali yao duni inatokana na ufisadi uliokithiri wa ccm. Hivyo basi, chochote ambacho kitachimbwa au kutengenezwa dhidi ya Chadema ni kama mvua kumyeshea bata. ccm ijiandae tu kuachia ngazi na Watanzania wajiandae kupokea uongozi ambao unawajali
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  yaani tuwaachie na nyinyi muje kuiba na kupora mali zetu sio?
  Nyambafu!!!! Ikulu mutaisikia bombani!!!
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Pata ujumbe kutoka kwa Munishi: Ikatae CCM
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hivi wewe ccm imekuwa jinamizi kwako? Hapa nani kaitaja ccm? Mbona kila inapozungumzwa uovu wa chadema unakimbilia kuitaja ccm? Hapa tunajadili chadema na ahadi yao ya kufuata utawala wa sheria wewe unakimbilia kuwapa lebel ya uccm watu usio wajua!!

  Yaani mumeingiwa na uwoga fulani hivi labda ni ya kushindwa kwa kishindo!!!!
   
 8. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Haya nilishayasema, huyu mtu ni hatari sana muangalie macho yake anapozungumza. ni DIKITETA HATARI SANA.

  Jamani tufanye lolote lile liwezekanalo ili mbio zake ziishie KARATU TU na uwe mwisho wake katka siasa na akamtumikie Mungu katika profesional yake ya awali "Upadre"
   
 9. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Chagua Chadema Mafisadi wafungwe jela. Chagua Chadema watoto wetu wasome bure. CCM Chama cha Majambazi na Majangiri!!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hahahaha mnamwona ni tishio kwa sababu amesema atashughulika na mafisadi eee!!
  bahati mbaya ni kwammba viongozi wengi wa ccm ni mafisi na wanahusika big time kwenye kufisadi rasilimali za nchi. Sasa subirini hiyo NGALAMBE yake ninyi majambazi.

  Zawadi ndugu yangu, rudi tena chadema kisha ujitoe ghafla siku ya kupiga kura halafu uandike mpaka kwenye magazeti kwamba zawadi ngoda kajitoa chadema.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Chanzo ni Habari Leo??????
   
 12. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo kama chanzo sio tanzania daima (mbowe&co.) sio habari za kweli?
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  chanzo chako cha Habari Leo hakina credibility kwa hiyo wewe na wenzio humna hiyo credibility. Ni wazi michango yako haina changamoto yo yote zaidi ya gossip kama hilo gazeti la Habari leo
   
 14. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kumbe kuna wenye hati miliki ya kuiba na kupora mali ya taifa. Kama ndiyo ugomvi mbona umeisha uamuzi 31 10 10. Halafu jazba unayoinyesha inaelekea hali mbaya tuliza ball
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 17. C

  Chesty JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,348
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Source: Habari leo. People will ignore you. We wait and see.
   
 18. C

  Chesty JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,348
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Hiyo bold sijaipenda. Kuwa kiongozi si kufaidi ndugu yangu ni kuwatumikia wananchi. Jamani hatutafanikiwa kama hii ndo mitazamo yetu ya kuwa viongozi.
   
 19. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nchi c yetu wote kwa nn nyie muibe pekee yenu? Agrrrrr
   
 20. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
Loading...