Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

SSH ni failure, kwa vile anapigiwa vigelegele vya kinafiki mitandaoni na wale haters wa JPM anajiona na yeye eti ana akili, hili ni shimo na litaidondosha Tz yote.

Enzi za dhalimu zimepita mzee, we pambana na hali yako.
 
Yani hapa ndo ninachopendea JF sometimes , ndipo ' ass kissers' wa pande zote za kisiasa na watu objective wanapokutana😀😀...
 
Ni business as usual; CCM ni ile ile, TFF ni wale wale, na watanzania ni wale wale, tutasahau kuanzia jumatatu.

20210427_193657.jpg
 
Alaumiwe Magufuli alieendekeza kuendesha nchi bila kuheshimu katiba wala taratibu za nchi..akawafanya kina Karia kuwa wapambe wake wakawa wanatoa lugha za kashfa kuwa Wambura analeta u Tundu Lissu..
 
Hilo nakubaliana na wewe kabisa ila hapa nawaning'iniza Lumumba kwa sababu ndio hasa ambao tayari wamesha-prove failure!

Kwamba ni tatizo la kitaifa, binafsi nishawahi kusema mara kadhaa huko nyuma kwamba nchi hii pale Magogoni/Chamwino iwepo CCM, CHADEMA, au ACT bado yatakuwa yale yale tu kwa sababu hata hao wengine wanatoka kwenye jamii ile ile wanayotoka Lumumba!!!

Sema hao wengine nalazimika kuwapa benefit of the doubt, kitu ambacho CCM hawa-deserve!!!
CCM ni failure ila vyama vingine ni disaster.

Hii nchi ina changamoto nyingi sana.
 
Kisa uzinduzi wa kitabu na sio vingine.

Uzinduzi ulikuwa mubashara na mechi mubashara pia Sasa unadhani raia macho yao yangekuwa wapi?

Ikabidi wafos kupendwa wakazima mechi ili wao waonekane.

Upumbavu tu wa kutojiamini.

R.I.P MZEE BABA MAGUFULI.
 
Sema nini, kwa maza tumepigwa. Tusubiri 25 tupindue meza. Chadema mkishindwa round hii basi tena.
 
Back
Top Bottom