Utawala wa Rais Magufuli ni dalili ya wakati muafaka kwa Vyama vya Upinzani kuungana na kuwa chama kimoja

Kwa msajili huyu tulienae unaweza anzisha chama kama kinatishia uhai wa CCM basi kamwe hakiwezi kupata usajili wa kudumu
Msajiri hawezi kupinga kitu kilichowazi na kufuata na kutimiza vigezo vyote vya kuanzisha chama. Ataanzia wapi?
 
Lowassa alienda CHADEMA kwa mbwembwe kwamba kuna theluthi ya CCM inamfuata bado akaambulia kura chini ya 40%. Uzuri kwa wanaohama CCM leo hii ni kwamba Mrema bado yupo hai.

Unajua, tukiacha ukweli uwe ukweli, haikuwa sahihi kwa Chadema kumkaribisha Lowasa kama mgombea uraisi. Kama Lowasa angekuwa na mapenzi na Chadema, basi alipaswa kujiunga nao ii kusaidia kampeni yao wakiwa na mgombea waliekuwa wamempanga, mfano Dr. Slaa.

Lakini sijui kwa nini huwa vyama vinafanya kosa la kuweka ad hoc candidates wanaohama chama fulani na kuja kutafuta ulaji chama kingine. Watu hao hawana mapenzi na uchungu na chama, bali wanataka madaraka tu. Nasikia hata JK alitishia kujitoa CCM na kujiunga na Chadema kama CCM wasingempitisha kuwa mgombea wao baada ya Mkapa, na Mkapa akatishika. Mie ningekuwa Mkapa ningemwambia JK kwamba tishio lake lilikuwa sababu tosha ya kumbwaga chini na kumweka Salim Ahmed Salim au Prof Mwandosya kama candidate wa CCM, hata kama ingemaanisha kushindwa uchaguzi. Ila sasa tatizo la vyama vya Tanzania, wako tayari kumweka mgombea wanaejua atashinda, hata kama wanajua ni dikteta au fisadi au mbabaishaji tu hawajali ili mradi awape ushindi wa chama. Hivi unadhani JK aliteuliwa kuwa mgombea wa CCM kwa kuwa alikuwa kiongozi bora kuliko Salim Ahmed Salim au Prof. Mwandosya? Thubutu. JK ni alikuwa kichuguu tu kwa milima kama Salim na Mwandosya katika suala la kuwa kiongozi mwenye sifa zinazotakiwa.

Hapo ndio naisikitikia sana nchi yangu na kuona vyama karibu vyote vimejaa unafiki tu wanaposema lengo lao ni kuijenga Tanzania. Lengo lao ni kuwa na madaraka.

Kuna wakati hata nilipendekeza tuanzishe harakati mpya kama Ufaransa na kuvitosa hivi vyama vyote vya siasa, havina jipya.

Hata hivyo mambo yanaweza kubadilika ikiwa vyama vya upinzani vitaungana. Wakiungana, wanapaswa kuweka wazi katika katiba kwamba mtu atagombea nafasi cha uongozi baada ya kuwa mwanachama kwa angalau zaidi ya mwaka. Hiyo itaondoa huku kudakia dakia chama kwa ajili ya ulaji na uchu wa madaraka.
 
Unajua, tukiacha ukweli uwe ukweli, haikuwa sahihi kwa Chadema kumkaribisha Lowasa kama mgombea uraisi. Kama Lowasa angekuwa na mapenzi na Chadema, basi alipaswa kujiunga nao ii kusaidia kampeni yao wakiwa na mgombea waliekuwa wamempanga, mfano Dr. Slaa.

Lakini sijui kwa nini huwa vyama vinafanya kosa la kuweka ad hoc candidates wanaohama chama fulani na kuja kutafuta ulaji chama kingine. Watu hao hawana mapenzi na uchungu na chama, bali wanataka madaraka tu. Nasikia hata JK alitishia kujitoa CCM na kujiunga na Chadema kama CCM wasingempitisha kuwa mgombea wao baada ya Mkapa, na Mkapa akatishika. Mie ningekuwa Mkapa ningemwambia JK kwamba tishio lake lilikuwa sababu tosha ya kumbwaga chini na kumweka Salim Ahmed Salim au Prof Mwandosya kama candidate wa CCM, hata kama ingemaanisha kushindwa uchaguzi. Ila sasa tatizo la vyama vya Tanzania, wako tayari kumweka mgombea wanaejua atashinda, hata kama wanajua ni dikteta au fisadi hawajali ili mradi awape ushindi wa chama. Hivi unadhani JK aliteuliwa kuwa mgombea wa CCM kwa kuwa alikuwa kiongozi bora kuliko Salim Ahmed Salim au Prof. Mwandosya? Thubutu. JK ni alikuwa kichuguu tu kwa milima kama Salim na Mwandosya katika suala la kuwa kiongozi mwenye sifa zinazotakiwa.

Hapo ndio naisikitikia sana nchi yangu na kuona vyama karibu vyote vimejaa unafiki tu wanaposema lengo lao ni kuijenga Tanzania. Lengo lao ni kuwa na madaraka.

Kuna wakati hata nilipendekeza tuanzishe harakati mpya kama Ufaransa na kuvitosa hivi vyama vyote vya siasa, havina jipya.

Hata hivyo mambo yanaweza kubadilika ikiwa vyama vya upinzani vitaungana. Wakiungana, wanapaswa kuweka wazi katika katiba kwamba mtu atagombea nafasi cha uongozi baada ya kuwa mwanachama kwa angalau zaidi ya mwaka. Hiyo itaondoa huku kudakia dakia chama kwa ajili ya ulaji na uchu wa madaraka.
Bado CDM haijajifunza kwa lililotokea 2015.Wanaona sawa tu maana huenda ikawa si kazi rahisi kwao kuona makosa yao.

Kama Magu ana nia ya dhati ya kupambana na mafisadi, wengi watakimbilia CDM kuomba hifadhi ya kisiasa ya kuwalinda dhidi ya makosa yao na hapo ndipo reputation ya CDM itakapochafuka maana watakuwa wamekimzana na hoja yao ya ufisadi wa CCM.
 
WAUNGANE WASIUNGANE VYAMA VIA UPINZANI KWA SASA VIMEKUA MZIGO KWA WANANCHI HAVISAIDI CHOCHOTE WALA KUTOA MCHANGO WOWOTE WAMAENDELEO YETU ZAIDI NIKUDIDIMIZA MAENDELEO YA MWANANCHI WA CHINI,WAKO KIMASLAHI ZAIDI.WATU GANI TUNAPOPIGANIA MASILAHI YA NCHI WAO WANAPINGA,WENGINE WANAJIFANYA WANAUNGA MKONO NYUMA YA PAZIA WANAWASAIDIA MABEPARI ILI SERIKALI ISHINDWE AKILI ZAO WANAMKOMOA JPM KUMBE WANAWAKOMOA WATANZANIA.UPINZANI WA SASA SIO ULE WAKINA DR SLAA AMBAO ULIKUA UNATETEA KWELI MASLAHI YA WANANCHI,WA SASA NI UPINZANI UCHWALA,NI KICHAKA CHA WAARIFU,MTU AKIONA MADILI YAKE YAMEBANWA NA KUNA UWEZEKANO WA KUMFIKISHA MAHAKAMANI KWASABABU ALIFANYA UFSADI SEHEMU ANAKIMBILIA KICHAKANI(UPINZANI) ILI WAKIMTAFUTA KUWAJIBIKA ASEME WANAMUONEA KWASABU AMEHAMA CHAMA.

TANGU UCHAGUZI WA 2015 UISHE MPAKA SASA HAWAJAWAITOA HOJA ZA KUWATETEA WANANCHI WA KAWAIDA ZAIDI YA KUWATETEA WAPIGA DILI,MAFSADI UKU WAKIBADILISHA HOJA ZA MSINGI ZENYE TIJA YA KULETA MAENDELEO NA HOJA DHAIFU ZISIZO ZA MAANA ZAIDI ZINAKUA KAMA ZECOMEDY MARA BASHITE,ILI WANANCHI WASAHAU HOJA YA MADAWA YA KULEVYA KISA WAMEWAGUSA JAMA ZAO WANAOWAWEKA MJINI.MAJIMBONI KWAO HAWAKAI WAKO DAR WANATAFUTA TAKWIMU ZA MAPATO,MARA BOBANDIER IMEKWAMA HIZO NDO HOJA MAMA KWAO MANA SAIZI HOJA KUBWA ZILIZOKUA ZINAWAPA UMARUFU KAMA ZA ESCROW HAZIPO.MAMBO YANAYOFANYWA NA SERIKALI YA KIMAENDELEO HAYO HAWAYASEMI NA KUWAMBIA TOENI HATA USHAURI HAWATOI ZAIDI YA KULALAMIKA,ATA WAKITOA USHAURI UNAKUA NEGATIVE ILI SERIKALI ISHINDWE.MFANO ULE MUSWADA WA DHARURA WA MADINI WALISEMA WAWAPE MUDA MPAKA MWAKANI ILI MASWAIBA WAO WAZUNGU WAENDELEA KUTWIBIA MADINI YETU.
Huyu kala kunde za wap?
 
Back
Top Bottom