georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,117
- 1,867
stan katabalo??????????????????
Duu, umenikumbusha mengi. Hakika yote uliyosema ni sahihi.
Alianzisha AZIMIO LA ZANZIBAR
- Aliua Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kutoka kwa Chama Chake cha CCM
- Liliua JKT
- Liliruhusu Viongozi kumiliki Majumba ya Kifahari
- Liliruhusu Uhuru wa DINI - Dini nyingi zilianza Nzuri na Za Uwalakini
Mapendekezo ya Kuuza Mashirika ya Serikali yenye Hasara/YOTE YALIKUWA YANA HASARA
ALIMLETA POPE JOHN PAUL (NYERERE HAKUWAHI KUFANYA HIVYO WAKATI WA UTAWALA WAKE)
Alianzisha 1st Ladies kuwa Part Business Ladies, Part Motivational Speakers, Owning NGO
Alitenganisha Rais wa Zanzibar asiwe by law Makamu wa Rais wa Tanzania (Ambayo Sasa Wanzanzibari wanataka Irudishwe)
Loooo jamani !!!
Ndiye aliyefanya mazishi rasmi ya centi 5, centi 10, centi 20, centi 50, shilingi 1, shilingi 5, shilingi 10 na shilingi 20.
Wakati was nyerere ilipofika pasaka nakumbuka nilipanda train ya Tazara hadi Tunduma nilishangaa na kununua Colgate.mafuta ya kupikia.sukari santuri yaani shopping ya nguvu wakati maduka ya Rtc yakiwa. empty au kugawiwa vitu mpaka kamati iikaeHivyo ukisema dunia unamainisha ni tanganyika tu? mbona Zanzibar hakukua na marufuku ya uingizaji vitu?
Kenya na nchi nyengine hatukusikia upuuzi huo. Ni Nyerere pekee ndie aliebana.