Utawala wa Mkapa aliichukia zanzibar?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Utawala wa mkap mgogoro wa zanzibar ulishika kasi. maneno ya vijembe dharau vilienea kutoka kiongozi mkuu. Nakumbuka nilimsikia mkapa akisema hata wakija wageni ccm haikubali kuiinagukia Cuf. alitumia neno moja kwenye mkutano wa hadahara wa CCM "wakome kutuingilia mambo yetu ya ndani".
lkn tangu aingie Jk, mambo yote yamekaa sawa. Kuna GNU. jee mkapa alifanya makusudi kuwaparaganya wazenj?
 
madrasa al sul
 
ona sasa hao walishaanza ccm cuf udini sijui vipi mkisoma shule mtaelimika you will talk sense
 
JKN + BWM

AHM + JMK

Yeah, well, i get you (and AL et al.) of course!
 
Utawala wa mkap mgogoro wa zanzibar ulishika kasi. maneno ya vijembe dharau vilienea kutoka kiongozi mkuu. Nakumbuka nilimsikia mkapa akisema hata wakija wageni ccm haikubali kuiinagukia Cuf. alitumia neno moja kwenye mkutano wa hadahara wa CCM "wakome kutuingilia mambo yetu ya ndani".
lkn tangu aingie Jk, mambo yote yamekaa sawa. Kuna GNU. jee mkapa alifanya makusudi kuwaparaganya wazenj?

Kama ni mzee wa hoja, neenda kajifunze kutoa hoja zenye maana. Usilolijua kalifanyie utafiti mwenyewe kwanza kuliko kuleta kwenye forum jambo usilojua hata abc yake. Kama wewe ni mtoto wa miaka chini ya ishirini nakushauri kaisome historia ya Zanzibar au kutana na Wazanzibar wenyewe wakufundishe upate kuelimika. Zanzibar ni nchi na ina watu wake usianze kuchimba yaliyopita usiyoyajua.
 
Acha kupotosha JK hana ushawishi kwenye GNU, its Karume na Maalim Seif.
Kama angekuwa ni JK CCM walivyokutana Butiama wangeafiki makubaliano ya kamati za CUF na CCM lakini kama kawaida CCM ilianzisha mjadala upya. Kuna wajumbe akiwemo Nimrodi (aliyefadhili mkutano) na Makongoro waliofikia hatua ya kumtaka M/kiti atumie mamlaka yake kuweka order ndani ya mkutano. Wazanzibar walitishia kujitoa CCM kama maridhiano yangepitishwa na kikao hicho.

Ugomvi au maridhiano yaliyofikiwa Zanzibar yamepatikana baada ya wanzanzibari wenyewe kuamua an has nothing to do with JK au BWM.
 
Utawala wa mkap mgogoro wa zanzibar ulishika kasi. maneno ya vijembe dharau vilienea kutoka kiongozi mkuu. Nakumbuka nilimsikia mkapa akisema hata wakija wageni ccm haikubali kuiinagukia Cuf. alitumia neno moja kwenye mkutano wa hadahara wa CCM "wakome kutuingilia mambo yetu ya ndani".
lkn tangu aingie Jk, mambo yote yamekaa sawa. Kuna GNU. jee mkapa alifanya makusudi kuwaparaganya wazenj?

Nonsense!!
 
Utawala wa mkap....maneno ya vijembe dharau vilienea kutoka kiongozi mkuu

By the way, kilichoichukia Zanzibar ni nini (nani?) UTAWALA WA MKAPA au KIONGOZI MKUU aitwaye MKAPA?
 
This is improper, ni hatari saana katika jamii ya Kitanzania. Chonde punguza ghadhabu.

hao wanahasira hao, kila wakiamka wanasikia Othaman kawa jaji mkuu, mara Asha, washazoea kuona Joh, Peter, waache mwishowe watakunywa sumu watuachie tz yetu mpya inayoongzwa na waislam
 
Back
Top Bottom