Utawala wa mazoea, vihiyo wa fikira wanaongoza nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala wa mazoea, vihiyo wa fikira wanaongoza nchi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mzungukichaa, Jan 30, 2011.

 1. m

  mzungukichaa Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Kama ulibahatika kuona mdahalo wa katiba uliorushwa na ITV jumapili utagundua ni viongozi wa aina gani wanaoiongoza ccm na taifa. Hao ndio watawala wa CCM. Pius Mswekwa hawezi kuongea hoja zinazoeleweka, sana sana alikuwa akiongea kwa jaziba. Viongozi wengi wa sisiemu hawawezi kujenga hoja zinazoeleweka na naamini hata baba yao bila kuandaliwa hotuba na maswali hawezi kusimama mbele ya watu akaongea kwa upeo wa hali ya juu.....
   
Loading...