BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Miaka ya nyuma ilikuwa vigumu kuona kada ya wananchi wa maisha ya chini wakisikilizwa kero zao. lakini sasa hivi wanapaza sauti na viongozi wa serikali wanasikiliza na kutoa mapendekezo ya ufumbuzi.
kumekuwa na matatizo ya wawekezaji kuajiri wafanyakazi bila kuwapa mikataba,kuwalipa malipo kidogo na kukwepa kulipa kodi za serikali.mfano migomo ya wafanyakazi viwandani Mwanza,Urafiki,EPZ na leo Mbagala.sio kwamba wahusika wa kudhibiti hiyo hali serikalini hawakuwepo.ni rushwa ilikithiri mpaka sauti za walalahoi zikawa hazifiki popote.
Pongezi kwa management ya magufuli
heshima ya walalahoi iliyomezwa na matajiri wachache inarudi kwa kasi.